Tabia ya kufumania, ushauri wa bure kwa wanaume

Tabia ya kufumania, ushauri wa bure kwa wanaume

According to the way i am,naweza sema kuchepuka kunaweza kukawa na sababu nyingi ikiwemo hulka ya umalaya wa mwanamke mwenyewe/mapungufu ya mme wake.Lakini yote kwa yote ikiwa ameona nina mapungufu kwanini asiniambie? so yeye atakuwa ni mkosaji na shetani mkubwa kabisa so nikizipata habari zake za kuchepuka,ni kweli lazima niandae fumanizi ili nikashuhudie mwenyewe na picha zipigwe nibaki nazo uwe ushahidi hata ndugu zangu na wake wazione ila sisambazi,then baada ya hapo waifu atanitajia jina la bibi wa bibi wa bibi yangu,na huyo mgoni wangu adhabu yake itategemea kama alifahamu kuwa huyo malaya wake ni mke wa mtu/siyo? na ikiwa anajue kuwa ni mke wa mtu na ikiwa ninamfahamu,naapa lazima apoteze mbupu
 
swala la ndoa silielewi aisee
Ndo maana nakuhusudu kwa kuwa muwazi. Kikubwa ndoa haina formula. Mwanaume na mwanamke material ni yule anayeamini katika kugandana kama ruba ije mvua au jua mwenzako achepuke au alete gono ni palepale. Kama hukubaliani na mimi bora kukaa kama Paulo
 
Mimi Kuna jamaa yangu alimfumania mkewe eti wakaitwa kikao kusuluhisha.sasa najiuliza hata tukipatana tayari utamu umeliwa ajabu eti jamaa akamsamehe.
 
Ndo maana nakuhusudu kwa kuwa muwazi. Kikubwa ndoa haina formula. Mwanaume na mwanamke material ni yule anayeamini katika kugandana kama ruba ije mvua au jua mwenzako achepuke au alete gono ni palepale. Kama hukubaliani na mimi bora kukaa kama Paulo
ha ha haha duh sawa mkuu .. kukaa kama paulo yataka moyo
 
hii taasisi ya ndoa ina changamoto nyingi sana........ ila mwanamke atabaki kuwa copy ya mwanaume....ukiona unapenda sana michepuko ujue na mwenzio the same....hahahhahaaaaa....
 
Unamfumania na bado unampenda, unamuita kuyazungumza anakutakana sasa utafanya nini hapo. Mi nashauri ukimfuma tafadhali sana hakikisha unamuweka mbali sana na mfukuzie mbali. Mwanamke hana sababu yoyote ile ya kutoka nje ya ndoa.

Mwanamke kutoka nje ya ndoa mara nyingine anakuwa hana sababu ya msingi zaidi ya kumkomoa mumewe (na kujikomoa mwenyewe) baada ya kusikiliza ushauri kwa marafiki zake

Mwanamke ukimfumania ndio tiketi yake KURUDI KWAO moja kwa moja hata usipompost magazetini,au akaishi na huyo mwanaume uliyemfuma naye.
 
sawa huoni kama mkeo kutoka nje inakuwa na maans ya kuwa wewe ni mzembe

Uzembe sio sababu pekee ya mke kutoka nje ya ndoa...wengine walisharithi mapepo ya ngono huko kwao na uma..l.aya tu kwahiyo hata ukimsugua vipi atatoka to nje

Wengine wanapata ushauri mbaya kwa marafiki zake...Hapo ni KUMFUMANIA TU,kisha ADHABU stahili kwa wote wawili na KUMUACHA MKE moja kwa moja arudi kwao,mwanaume akifanya vinginevyo ni uzoba na uboya.
 
Asa usual men are selfish
 
Selfishness ni nature ya" bin adam"! Ndio maana hata mtoto mdogo sana ukimpa pipi then ukamuomba akupe hiyo pipi anatakaa, hii kitu haina gender mkuu...!

Its too selfish some of u hamuaminiki
 
mi hata ctetei awe wa kiume au wa kike kwani km kuna mapungufu c adai/atoe talaka. kudhalilishana tuuu na magonjwa meng cku hiz. ukifumaniwa mi hata huruma ckuonei mana hata wewe hukumuonea huruma ulomsaliti.
 
Mambo mengine hayaendi kirahisi rahisi hivyo. Umfumanie, umuite mkae chini myazungumze, kirahisi sana hivyo. Yakikukuta ndiyo utakuwa na maamuzi.
 
Mume au mke akishaamua kutoka nje ya ndoa Ni kweli amekudharau, amekuvunjia heshima na kujivunjia yake pia.
Kwa tafsiri ya ndoa zetu za kiafrika, hatuoani bali mimi naoa. Nalipishwa mahari na mambo mwngine mengi hii ikiashiria kuwa ninaoa na hatuoani. Kwa mantiki hiyo basi, mke ni mali yangu lakini atakapoamua kumvulia mwingine ni dhahiri kuwa sio mali yangu tena. Tutaachana tu, hakuna namna nyingine.

mkuu hawa wadada hawajielewi. wanataka tuwe sawa wakati sie tunakamuliwa ng'ombe na mbuzi wao wanachekelea.
imagine mtu katolewa mahari m 5 aafu jitu linakuja kuanza kugawa tu hivi hivi!!

uzuri siku hizi tunatiana hata kabla ya kuoana hivyo mapungufu yangu mengi anakuwa anayajua, kwa nini asiahirishe kuolewa nami?
unataka kusafisha nyota ya kuolewa aafu uje kufanyia uhuni kwangu?
 
Kinadada wana tamaa sana wanataka maisha ya anasa n mashauzi y kijinga,sasa unakuta mtu kaolewa n maisha yao y kawaida tu so akiona wenzake wanahongwa cjui passo au vitz nae mpapa unamwasha anaanza chepuka.......akifanikiwa bwana mwenye visenti utaona dharau zinaanza ndani y nyumba
 
Back
Top Bottom