Tabia ya kufumania, ushauri wa bure kwa wanaume

Tabia ya kufumania, ushauri wa bure kwa wanaume

Uzembe sio sababu pekee ya mke kutoka nje ya ndoa...wengine walisharithi mapepo ya ngono huko kwao na uma..l.aya tu kwahiyo hata ukimsugua vipi atatoka to nje

Wengine wanapata ushauri mbaya kwa marafiki zake...Hapo ni KUMFUMANIA TU,kisha ADHABU stahili kwa wote wawili na KUMUACHA MKE moja kwa moja arudi kwao,mwanaume akifanya vinginevyo ni uzoba na uboya.

Mimi nakubaliana na maelezo yako mia kwa mia hata Biblia imeandikwa huruhusiwi kumwacha mke wako "isipokuwa kwa kosa la uasherati."
 
nadhani mleta mada umeongea tu bila kuelewa unaongea nni???
Yaani uambiwe mkeo anagongwa lodge fulani afu eti useme ngoja nitaongea nae kwa utaratibu
 
Kinadada wana tamaa sana wanataka maisha ya anasa n mashauzi y kijinga,sasa unakuta mtu kaolewa n maisha yao y kawaida tu so akiona wenzake wanahongwa cjui passo au vitz nae mpapa unamwasha anaanza chepuka.......akifanikiwa bwana mwenye visenti utaona dharau zinaanza ndani y nyumba

Ni kutokuwa na hofu ya Mungu tu siku hizi mpk kwenye nyumba za ibada hakuna kuhubiri holiness ni mwendo wa pesa tu. Kinadada wanataka lifestyle ya juu mme hana uwezo hamtimizii anaenda nje. Mme na yeye hamtimizii mkewe hana uwezo mke haonekani nyumbani mme na yeye anachepuka at the end ndoa za siku hizi ni shaghala bagaka hazieleweki kabisa. Hakuna wa kumwongoza mwenzake
 
Ni kutokuwa na hofu ya Mungu tu siku hizi mpk kwenye nyumba za ibada hakuna kuhubiri holiness ni mwendo wa pesa tu. Kinadada wanataka lifestyle ya juu mme hana uwezo hamtimizii anaenda nje. Mme na yeye hamtimizii mkewe hana uwezo mke haonekani nyumbani mme na yeye anachepuka at the end ndoa za siku hizi ni shaghala bagaka hazieleweki kabisa. Hakuna wa kumwongoza mwenzake

Ila jua sisi wanaume kma huna nguvu z kiume yani pesa huwezi chepuka hata mana starehe gharama.........mana hata ukienda gest z uchochoroni lazma 30000 iishe,hapo bdo hujampa posho yke y mechi.....ila wadada wengi wanataka maisha y juu bila kufanya kazi yani wao ni kukaba tu unakuta anaishi maisha expensive na gari la maana vyote anategemea mpapa wake.
Hao ni wengi sana kwenye jamii yetu kma kina madam n wafuasi wke
 
Hili suala jibu lake hupatikana wakati wa tukio namna utakavyoweza kufanya ndio hivyo.Unaweza sema nitafanya hivi na vile kumbe ukishuhudia nguvu zinakuishia kuja kuzinduka una drip ya maji mkononi.Kuna mtu aliambiwa twende huku ukamtizame mkeo jamaa kachungulia penye kitundu akakataa akasema mke wangu sio huyu jamaa wakamwambia ni mkeo huyo jamaa akajibu mke wangu sio kilema, jinsi jamaa lilivyo mkunja sasa kuna kiwewe huwa kinatokea.
 
Mimi siyo mpenzi sana wa jukwaa hili, lakini nimeona ni vema kuja hapa na kutoa ushauri wangu wa bure,
Tabia ya mafumanizi au kufumania imeota mizizi na inatakiwa kukemewa kwa nguvu zote, nasema hivyo siyo kwa sababu napenda kuona watu wakitoka nje ya ndoa la hasha bali napenda kulinda heshima ya kizazi tulicho nacho kwani kufanya vitendo hivyo vya mafumanizi ni kushusha hadhi ya taifa letu na kuonekana hatufikirii vizuri,Picha za kufumania zinaonekana kwenye mitandao kila siku tukiona picha za watu wa heshima na tunaowajua,watu waliominika kwenye idara mbalimbali ambao ni binadamu tu wa kawaida wasio wakamilifu.

Kwa kweli ni kitendo kibaya sana na kinaonyesha ni jinsi gani tulivyo na uwezo mdogo wa kupambanua mambo,Mke wako akiamua kwa hiari yake bila kulazimishwa au kubakwa tafadhali sana mpe nafasi kwani kuna sababu nyuma ya pazia,wanawake ni watu wenye akili sana japo hazionekani waziwazi, naomba uelewe mke wako siyo mali yako hata kidogo wala siyo mtumwa wako bali ni msaidizi wako na hakuna lingine,kwa taarifa yako tuu ni kwamba mke wako akiamua kutoka nje ya ndoa amekudharau sana.

Anapoamua kutoka nje ya ndoa siyo kwamba hajui bali anajua anachokifanya na ameamua hata kama utamfumania mara mia na kama anataka atatoka tena na tena.Hivi umewahi kufikiria madhara ya kufumania halafu mtu anawekwa front page ya magazeti? Huyo mtu hana familiya hana watoto ndugu wazazi jamaa na marafiki? Hivi tunafikiria mbali kabla ya kuchukua hatua? Hivi hao wanaofumania ni watakatifu? Ndiyo maana .''Yesu akawaambia wale watu waliomleta mwanamke aliyefumaniwa asiye na dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe'', mwenye uwezo wa kumzuia mwanamke asitoke nje ya ndoa ni mwanamke mwenyewe na baba yake au mama yake na siyo wewe mume wake, kumbuka pale juu nimesema mke wako siyo mali yako hata kidogo.

Ushauri wangu ukimfumania mke wako tafadhali sana kaa chini tulia mwite kwa heshima na muulize ni kwa nini anafanya vile,jibu utakalopata fikiria na chukua hatua, kama kuna matatizo ndani ya nyumba na kama bado unamwitaji mke wako jaribu kurekebisha ili uendelee na ndoa yako, kama ukiona hakuna jinsi nyingine tafadhali mwandikie talaka nitashangaa sana mwanaume kumfumania mke wake na kumrudisha nyumbani na maisha kuendelea na umeshatoa siri kwenye mitandao na magazeti, je watoto wako na ndugu na marafiki watakuonaje tumieni akili kidogo mbona kila mtu amepewa akili ni kuamua kutumia
.

Kama mke si mali yako au mtumwa wako kwanini unatoa posa (ili kuwa inaitwa pesa wakapunguza ukali wa maneno)?, mali na watumwa vyote vinauzwa. Umekiri mwenyewe kwamba mke wako akitoka nje anakuwa amekudharau sana sasa kama ni hivyo wewe kwanini humsitiri eti usimtangaze, lazima utakuwa pungwani. Ni hivi mke msaliti hafai hata wewe unayetembeanae akiwa ndani ya ndoa jua atakusaliti. Wewe mleta mada kama hujaolewa jua hufai kuwa mke wa mtu kama ndo mawazo yako. Alafu kama umeolewa basi ujue mumeo ni bushoke na hata watoto uliozaa sio wake. Pole sana kwa kucheza kimamamama ukubwani
 
Huo ni extremely U-Bushoke at its highest level.
Potelea mbali niugue presha sijui watoto wakose malezi ya wazazi wote wawili but Siwezi kufanya huo ujinga.

At least ungesema hata nimtimue, lakini sio negotiations. Yaani nifanye negotiations au reconciliation na mtu mwenye shahawa za mwanaume mwengine ukeni, what for?

Wewe Itakua unahisi utafumaniwa hivi karibuni hivyo unajifagilia mazingira kabisa.
 
Usipende kumpeleleza peleza mkeo utajiKuta unaathiriKa kisaikolojia we ukiona msg simu ingia mimacho hiyo utaumwa ugonjwa wa moyo bure maisha mafupi haya fanya yanayo kuhusu tu.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli. Mara nyingi wanawake hutafuta riziki kama wanaume lakini matunzo asilimia 80 ya nyumba na mke mwenyewe huwa ni juu ya mume. Sasa kweli nikupendezeshe, nakupa dushe mpaka unaomba poo, mtaani wanakuona matawi ya juu halafu nakufumania!!! 😡 hapo busara itakaa pembeni tu... Mtoa mada hujui uchungu wa kuliwa mke wewe. Mwanaume huwa hawazi kuchapiwa, bali anawaza uchafu aliofanyiwa mkewe maana wachapaji wanawake wasio wao huwa hawachagui wala hawajali
 
Ukimuuliza mkeo kwa mini ulifanya vile atakwambia Ibirisi tu mume wangu sasa kwa mwanaume majibu kama hayo yasiyo ridhisha unamtwanga talaka tu no way out
 
Huo ni extremely U-Bushoke at its highest level.
Potelea mbali niugue presha sijui watoto wakose malezi ya wazazi wote wawili but Siwezi kufanya huo ujinga.

At least ungesema hata nimtimue, lakini sio negotiations. Yaani nifanye negotiations au reconciliation na mtu mwenye shahawa za mwanaume mwengine ukeni, what for?

Wewe Itakua unahisi utafumaniwa hivi karibuni hivyo unajifagilia mazingira kabisa.

Huyu mleta mada hajawai kuwa na wala hatawaikuwa mwanaume ila namwombea azae mtoto wa kiume alafu mwanae aoe alafu huyo mwanae achapiwe. Au babake kawai kuchapiwa alafu akamsamehe mama yake nini? Kwahiyo anachukulia poa. Hivi ukichapwa ukapata mimba kinachofuata nini kati yako na mumeo na MUNGU wako?, ukitaka kuchapwa ovyo usikubali kuolewa, ukishaolewa jua wewe ni mtumwa na mumeo na bwana yaani master kwako
 
Ushauri meingine hauna maana kama hutaki kufumaniwa toka kwenye ndoa.
 
Mi nafikiri swala ni kujiridhisha kuwa katoka nje kisha unatengeneza mazingira mazuri yenye tabasam unamresitisha in peace huku anakuangalia machoni na haamini kinachotokea kama hunipendi au unapenda mwenye pesa mngoje sio unikubali mimi na kuniaminisha kuwa unanipenda hio ni dhambi
 
ha ha haha duh we hutaki luxury life?

Mimi c natafuta kwa jasho langu hata nkila raha ni hela yangu.......ila nyie wengi mnapenda luxury life bila jasho unakuta bidada anakunywa serengeti ukimwita sehemu y gharama unaskia niletee savanah au heineken
 
Mimi c natafuta kwa jasho langu hata nkila raha ni hela yangu.......ila nyie wengi mnapenda luxury life bila jasho unakuta bidada anakunywa serengeti ukimwita sehemu y gharama unaskia niletee savanah au heineken
ha ha ahaa bora mimi naye agiza gongo kikopo kimoja chali
 
1. Kutoa Mahali si kununua mwanamke
2. kufunga Ndoa haina uhusiano na kutopiga mchepuko, ndo maana ktk kiapo cha ndoa sijaona kiapo cha kutochepuka
3. Kumfumania mke wako na kumdhalilisha yeye na mgoni, huo ni UJIMAAA! this is a 21st Century!

Ebu lete namba ya simu ya mkeo kwanza weka hapa
 
Hakuna kitu kinachouma kama kugongewa mke. Mimi nilishajiwekea utaratibu wangu kuwa siku mke wangu nikimfumania basi hiyo ndio siku atakayorudi kwa wazazi wake.
Mwanamke akishakusaliti tayari wewe huna thamani kwake, suala la kumtendea ubaya mgoni wala halisaidii. Mapenzi hayalazimishwi mtu kama kaamua kugongwa nje hata ufanye nini atagongwa tu
Umkadhalilisha ulimwengu wote wakafahamu
kama ukimrudia
Wewe ni Zaidi ya punga.
Usisahau wanaume wengi wanamatatizo ya afya ya uzazi.
hawawakuni wake zao.
hukaa nao kama nembo tu.
 
Back
Top Bottom