Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Aaah wapi!! Kimoja chalii ndo utaweza kuendesha hii gari ya mealtime! Thubutuuu!! Automatic hao
 
wanaume wa dar ni waongo sana ukiacha umbea wakudiscuss maisha ya watu, na uvivu na kupenda kushinda bar lakin ni wazuri kwa kuhonga ha ha ha ha , kukupangishia nyumba nzuri, kukununulia kiwanja au kukujengea sio hatari ila uongo haachi usidhani kama ndio anakupenda, ila pia ni watafutaji hata akiajiriwa lazima akili ichangamke kivyengine, mission town :):)
Vizur kwa kulijua hlo dadaa
 
Ni hivi, siku mkija mjini na babes wenu, ama wake zenu kuwafanyia shopping.

Hasa, ukitaka fanya shopping za Cosmetics, Rasta, Weaving, etc "Usiongozane na mkeo/ baby wako" kama unahela zako za matikiti za mawazo mawazo.

Utafiti, umegundua unapoongozana na mkeo wauza vipodoz na stuffs za kike huongeza bei maana wanajua hutochomoa. Ila ukimwacha baby/wife aende mwenyewe atanunua kwa low price.

Ni hayo tu, maana Wanaume wa Dar siku hizi wanajua bei za weaving, rasta, etc wamechoka kuibiwa....
 
Back
Top Bottom