Tabia mbaya mbele ya watoto

Kibukuasili

JF-Expert Member
May 15, 2010
1,050
605
2023.jpg
 
Dogo hii ni ya wapi hii maana imekaa ovyo sana na hawa wazazi hawana chembe ya adabu kabisa
 
Unaweza sema wazungu hamnazo ila sasa hivi kila sehemu dunia shetani kawakamata watu hii picha sawa na hivi vigodoro vya huku Bongo tuu.Tena huku vigodoro mama anatizama na mtoto mchanga.
 
Nafikiri ni wajapani huwa kuna siku maalumu ya KUTUKUZA HII KITU, huwa wanatengeneza sanamu kubwa ya hii kitu na kuandamana nazo mitaani. Nafikiri ni utamaduni wao ambao kwetu sisi inaweza kuwa kero / tabia mbaya kweli kama mdau alivyosema
 
Duuu huko watoto wadogo wa kike wanaandaliwa mapema...... maujuzi...... ***** Mila na Desturi hizi huku kwetu ni laana!
 
Mtoto mdogo kapigwa bumbuwazi, vile viwili vikubwa kama vimesimamisha emoshenzi.
 
Back
Top Bottom