Wana Jf
Nipo kijijini kwenye msiba, kuna tabia zinakera sana.
Kila unayekutana nae anataka umpe hela.
Nimetoka jioni kwenda kupooza koo, imekuwa kero.
Jamani inakuaje kijijini.. Ni huku kwetu tu au hata kwenu wapo?
Kwani huko kwenu ni kijiji gani?, sie kwetu hamubaga mambo za namna hii- nikienda likizo najirani hunikaribisha kwa vibuyu vya maziwa na nyama choma mpaka nakinai.