Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,925 Oct 8, 2011 #21 Husninyo said: pande zileeee. Angalia atlas Click to expand... nimeiona.....lol!
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 908 Oct 8, 2011 #22 Mkuu ndio maisha yetu mizinga aiepukiki hata wewe inawezekana wakati ujawa sasa umepiga sana watu mizinga
Mkuu ndio maisha yetu mizinga aiepukiki hata wewe inawezekana wakati ujawa sasa umepiga sana watu mizinga
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,153 Reaction score 9,270 Oct 8, 2011 #23 pole sana mkuu ..
Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,143 Reaction score 7,403 Oct 8, 2011 #24 wape mbege kisha usepe,sis kwetu hakunaga kabisa kabisa.ni mwendo wa nyegela nyingi na kahawa za kutafuna kila nyumba utakayotembelea..
wape mbege kisha usepe,sis kwetu hakunaga kabisa kabisa.ni mwendo wa nyegela nyingi na kahawa za kutafuna kila nyumba utakayotembelea..
matumbo JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 7,224 Reaction score 3,960 Oct 9, 2011 #25 wakati ule wanakuchangia ada hukuona kero?