Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,599
🤣 una shuhudia mengi sanaKuna watu wa ajabu sana, mtu anashika pua moja anapenga kamasi kisha anajifuta mikono kama vile anapaka mafuta......pyaaaa kinyaa sana kinyaaa balaa
Koh..! Koh...! Krrrrrruuu... ptu!Kuna watu wa ajabu sana, mtu anashika pua moja anapenga kamasi kisha anajifuta mikono kama vile anapaka mafuta......pyaaaa kinyaa sana kinyaaa balaa
Kuna mahali tulikua kwenye semina daaah jamaa mmoja nikamshuhudia kafanya hivyo, yani hata muda wa chakula nlikua napata kinyaa kushika ile koki ili ninawe....... Kuna watu hawana ustaraarabu kabisa🤣 una shuhudia mengi sana
Anawai kupumzika 😂Unaona gari limejaaa ,siti ziko full bado unaingia kubanana duh!,hii inashusha heshima
Ndio ufanye mbele yetu 😂Koh..! Koh...! Krrrrrruuu... ptu!
Alafu anakukatia muhindi uleKuna watu wa ajabu sana, mtu anashika pua moja anapenga kamasi kisha anajifuta mikono kama vile anapaka mafuta......pyaaaa kinyaa sana kinyaaa balaa
Duh na nimsomi aseKuna mahali tulikua kwenye semina daaah jamaa mmoja nikamshuhudia kafanya hivyo, yani hata muda wa chakula nlikua napata kinyaa kushika ile koki ili ninawe....... Kuna watu hawana ustaraarabu kabisa
We ungeweza kula?Alafu anakukatia muhindi ule
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 aaaagrrrrrr ptuuuuuuAlafu anakukatia muhindi ule
Yani.....Duh na nimsomi ase
We ungeweza kula?
Hiyo inatwa jenga kwakoVYUMBA VYA KUPANGA VILIVOKARIBIANA RAHA MPEANE NYIE KERO KWA WENGINE UNAKUTA MTU ANAPIGA MAYOWE HATA UFUNGULI REDIO SAUTI KUBWA BADO KELELE UNAZISIKIA KWANINI MSIFANYE KIMYA KIMYA HII ILIKUWA INANIKERA SANA MIAKA HYO.
Ustaharabu muhimuHata akinilipa na hela sili.
Daaah hii nyumba mie ningelipa hata kodi miaka miwili ili nisijekutoka, na hao wapangaji wenzangu ngewakopesha kodi ikitokea wamekwama....VYUMBA VYA KUPANGA VILIVOKARIBIANA RAHA MPEANE NYIE KERO KWA WENGINE UNAKUTA MTU ANAPIGA MAYOWE HATA UFUNGULI REDIO SAUTI KUBWA BADO KELELE UNAZISIKIA KWANINI MSIFANYE KIMYA KIMYA HII ILIKUWA INANIKERA SANA MIAKA HYO.
Aibu hiiYani.....