Hivi kwa nini hawa watu(sio wote) wanapenda sana wanawake na pombe,hii kitu inatokana na nini, binafsi nipo medical school namshukuru mungu kwenye alcohol lakini kwenye hao viumbe huniambii kitu, hata nikicheki jamaa walio kazini na wa madarasa ya mbele ni noma,inatokana na nini hii kitu wadau? msaada wa mawazo kuhusu sababu na jinsi ya kujiepusha au kuacha binafsi sijawa addicted kivilee!!!!
Rutashubanyuma jina tu linajieleza endelea ingawa wasema haupo adicted c kweli wewe tayari kabisa