Tabia hii ya madaktari

Tabia hii ya madaktari

Hivi kwa nini hawa watu(sio wote) wanapenda sana wanawake na pombe...

hii ni roho ya dhambi, hamna uhusiano wowote na udaktari ila una uhusiano na roho chafu, dawa ni YESU Kristo
 
We spleen ni sukari ya warembo nini?......Acha ugoni kijana.....hayo mambo ni kujiendekeza tu, soma kwa bidii na fanya mazoezi! Halafu sio eneo hilo tu ndio kuna wagoni, maeneo yote ya kitaaluma yana watu wa haina hiyo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom