Ndio maana niliamua kuondoka zangu niwapishe mbebishane vizuri kwani niliona afya yangu inazidi kudorola kwa wivuHehehehe naww ulizidi shosti kutia huruma mpaka mm na Mr Miller tukaona tupunguze speed....ila pendo letu liko palepale....hapa nampepea tuu[emoji4][emoji4][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uzuri sisi tunajali na Mr Wangu tukaona tupunguze kidogoNdio maana niliamua kuondoka zangu niwapishe mbebishane vizuri kwani niliona afya yangu inazidi kudorola kwa wivu
Asanteni kwa kujali, wenzetu huko wanaendeleaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uzuri sisi tunajali na Mr Wangu tukaona tupunguze kidogo
Mwanaume ni wajibu wako kumpa mwanamke...Mungu aligawa majukumu so msijilize.
Alhamdulillah mpenzi wa mmAsanteni kwa kujali, wenzetu huko wanaendeleaje?
Asante[emoji2][emoji23][emoji2][emoji2]
Polen mliowah kuwapa wanaume zenu pesa
Ulimpa kias ganAsante
Mwanamke atazaa kwa uchungu mwanaume atatafuta kwa jasho!....unaweza kuniambia lini mwanaume kamsaidia mwanamke kuzaa kwa uchungu?ila wanawake wanaimizwa kuwasaidia wanaume kwa jasho ..sawa si sawa?Mwanamke ana wajibu wa kumfanyia nini mwanaume? tuanze na hapo agata edward
Kuandika nayo kazi kumbe?Heri ya pasaka wapendwa
Naombeni kuuliza swali jepesi tuu hivi inakuaje pale mahusiano yanapoanza hata mwezi hamjafikisha mmoja anaanza kumpiga mwenzie mizinga ya kumuomba mwenzie hela mara ohh naomba uniazime 100,000 nitakurudishia keshokutwa huyo ni mwanaume mzima na akilizake, hatujamaliza week mzinga mwingine uniazime milion 1 nitakurudishia next week hapo hajarudisha ile laki kwakweli mimi huwa naboreka sana pale mwanaume anapoanza kujishushia hadhi mapema hivi kwa mwanamke, nachojiuliza ni kwanini uniombe hela mimi? Je kabla hujanijua ulikua una mkopa nani? Kwanini usiwakope rafiki zako au ndugu zako kwanini uje kwangu wakati mimi kwako bado ni mgeni? Hii tabia ni mbaya mno kwakweli naninailaani vikali kwani mahusiano yetu ni ya hela?
Jamani kuna kidume kiminijia nikakiona kistaarabu fulani hivi halafu kitulivu na miahadi kibao mara nataka nikufanyie hivi nataka nikufanyie vile mimi kimya namuangalia tuu maana sijazoea mapenzi kuyalinganisha na vitu sasa mwenzangu yeye nazani anafikiri mimi ni Mwanamke wa dizain hizo zakuona mapenzi ni materialists, mimi mapenzi sio vitu ni mtu mwenyewe sasa mwanaume anapoanza kuniomba hela mimi mtoto wakike ni zaidi ya udhahifu je usingekua unanijua ungeenda kumuomba nani? Nilikua nimekupa credit kibao ila sasahivi umenitoka moyoni kwangu kabisa nimekupa hizo hela kiubinadamu kama mtu tuu sio mpenzi na ole wako usinilipe najua utasoma tuu hapa ukae ukijua mimi sina mapenzi ya hela baba, nanimeshakuona hunifai hata kidogo mschssssxuu!
Nimecheka mimi jamani haaahhhaa if kiboko yangu mimiKwanza mwanaume wa hivi hata akuweke staili gani hukojoi nahisi...utakuwa unawaza hela yako tuu ilivyopotea[emoji23][emoji23]
Cheka shogaangu maisha yenyewe mafupi...Nimecheka mimi jamani haaahhhaa if kiboko yangu mimi
Ha! ha! Jamaa kiboko kamtapeli pupuchi na pesa juu.Kutongozana PM lkn ikitokea hitilafu wanakuja tuwape mawazo. Muite na uyo mwenzio basi tuwasuluhishe maana papuchi kashakula na pesa kachukuwa hhhhh
Pamoja na hayo ila wanawake wa Leo wamezidi. Usioneshe dalili ya kumpenda tayari keshaomba hela bila kujali mmefahamiana Leo au lini, duuu. Hii laana kabisaWanazidi kushika hatamu tuu,.
Kusema kweli hata mimi hapo mumu kanifanya nicheke sana. Na hii kiukweli kbs ameonesha jinsi ambavyo ilimkera alivyofanyiwa hivyo na inavyowauma wengine pia. Kusema kweli ni tabia mbaya kabisa kwa mtu kumfanyia mpenzi wake vile.Nimecheka mimi jamani haaahhhaa if kiboko yangu mimi
Naomba uniazime laki 5, ntakurudishia kesho, ila usinifungulie uzi jf.Heri ya pasaka wapendwa