ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,885
- 42,002
Sasa wewe kwanini ukiweke hicho kipande mbali..? Ni ili ukikute wewe au?![]()






Sasa wewe kwanini ukiweke hicho kipande mbali..? Ni ili ukikute wewe au?![]()






MmmhKuingia kwangu hovyo hovyo unakuta mtu anakuja sebuleni ghafla tu ashafungua gril ya mlango hee nachefukwa sana nilimtimua mmoja sipendi mazoea ya kipuuzi hivyo jee kama nipo na mpenzi wangu jee
Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
Mgeni ukienda sehemu unachinjiwa jogoo la maana na kupewa nyama za maana. Duh! Ukienda kwa mleta mada utaambulia patupu na kusimangwa juuHalafu kwa roho yake anamwambia mgeni aanze kupakua ili mgeni akutane na mifupa
Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
Kama hataki aina hiyo ya nyama iliwe na mgeni kwa nini aweke mezani? Mgeni inabidi akirimiwe vizuriHahaa... yaani vipaja anavichimbia chini kabisa... haha
Mkuu labda anaona ni afadhali aingie na viatu kuliko hiyo harufu ambayo hutovumilia,Mgeni anakuta GETHO Capet jeue ila anakatiza tu na viatu vyake huwa ananchekesha sana na huwa inabid nicheke tu mana amna namna......
Aahh deal umeling'amua..hizo ni type za uchoyo..raha ya mgeni apige msosi akasimulie..yaani hata baraka za kupata misosi mingi inakuja tuu ila sio unaweka shingo na vipapatio na miguu ya kuku alafu kidali, na vihips una vificha kwa chinSasa wewe kwanini ukiweke hicho kipande mbali..? Ni ili ukikute wewe au?![]()
Hapo anakutana na mgeni ambae apendi ujinga analichomoa paja huko lilikoAnakua amejiwekea yeye akijua wageni mtachukua za juu ambazo ni vipapatio na shingo alafu yeye wamwisho akakutane na firigisi na mapaja![]()
Hapo anakutana na mgeni ambae apendi ujinga analichomoa paja huko liliko![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha yanavyochanganya kwa kweli sina muda wa kukaa kuwa stressed eti mgeni kaja kaeka miguu au kujilaza kwenye kochi langu kha! Au kala nyama ya chini kwenye bakuli au kabadili channel kwenye tv.. afanye anachotaka hata akitaka kupika poa tu namkabidhi vifaa. Limit yangu ni bedroom nakolala kama sijakwambia ingia usitie mguu, au wale majirani wa kuomba omba vitu hapana kwa kweli nitakufukuza na sura kavu.
Kwingineko na mengineyo let mgeni be
free. Life is too short to be upset na vitu km miguu kwenye kochi. Unless mmenunua makochi wajiachie nzi na mbu.
We kiboko ila jiandae kutetwa pembeniTena kama nimimi ili nisipate taabu nakamata hako kama nikasifuria au kiji hotpot navirusha kanakwamba napeta mchele zile zachini zote zinahamia juu alafu ndonakufungia show
utakuwa gumzoWe kiboko ila jiandae kutetwa pembeni
Utasikia jaman mlimuona yule mgeni yaan kakamata kabisa bakuli LA nyama analipeta hata aibu hana
Ati alikuwa anatafuta paja
![]()
![]()
![]()
![]()
utakuwa gumzo


Tabia mbaya bwanaTena kama nimimi ili nisipate taabu nakamata hako kama nikasifuria au kiji hotpot navirusha kanakwamba napeta mchele zile zachini zote zinahamia juu alafu ndonakufungia show
Hahahah hongera kwa kweli mim siwez Nina aibu sana kiasi kwamba hiyo nyama yenyewe nitachukuwa nikiwa natetemekaMkuu unajua kunawageni wengine tulifanyiwaga upasuaji mdogo wa kutolewa mishipa ya aibu![]()
ilinibid nipakue mchuz tu