Tabia gani usiyoipenda sebuleni?

Tabia gani usiyoipenda sebuleni?

Wageni wake walisha mshitukia anaficha vipande vizuri chini, juu anaweka vipapatiro, kwa hiyo namshauri next time alete huyo rosted kuku kwenye sahani kubwa ambapo kila kipande kinaonekana.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tabia ya kulala kwenye makochi.
Duh!!!kumbe nikija kwako utanitimua maana ndio zangu hizo
8306fe885355cb8454cc180c26a23c44.jpg


-Ndumilakuwili-
 
Mgeni kuja na kuanza kuchunguza chunguza vitu vyako mara hiki mara kile..

Ndio maana kwangu nimeweka bango dogo lenye ujumbe "Mgeni karibu kwangu ila utakayoyakuta huku yaache huku huku'
Aisee wewe sasa umezidi unoko
 
Mgeni anakuta GETHO Capet jeue ila anakatiza tu na viatu vyake huwa ananchekesha sana na huwa inabid nicheke tu mana amna namna......
 
Maskini ni wachoyo.... Kwa nini upike KUKU mmoja angali ukijua familia ni kubwa? Kwangu mimi KUKU mmoja watu wawili, mkiwa wanne basi ni kuku nane watapikwa,, Kama unajua huwezi kumudu gharama za KUKU dagaa mbn hawajaisha madukani?? Na nyasi pia zipo... Acha kuwabania watu bhn hadi wagombaniane mapaja
 
Back
Top Bottom