Mshikawezi Mwizi
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 751
- 375
Uchoyo wa kihaya huo.
Umetisha ndo dawa ya wachoyoTena kama nimimi ili nisipate taabu nakamata hako kama nikasifuria au kiji hotpot navirusha kanakwamba napeta mchele zile zachini zote zinahamia juu alafu ndonakufungia show
Lawama nyingine Ni uchoyo Na roho mbaya tuu!!Habari zenu wa Jf
Kuna tabia ambazo wageni wamekua wakifanya masebuleni mwetu na sisi kiukweli hatuzipendi ila tunashindwa kuwaambia coz ni mgeni unaogopa kumuuzi.
Baadhi ya tabia zinazonikera mimi ni kama ifuatavyo
1. Mgeni kupandisha miguu juu ya kochi, inakera, kama unajisikia kukunja miguu yako si bora ukae chini basi uikunje vizuri. Kuliko kupandisha milonjo yako kochini.
2. Wakati wa chakula labda umekaanga kuku umeweka kwenye bakuli self service unamkaribisha mgeni badala achukue vipisi asepe yeye anaanza kuchakura chakura yani atafukua mpaka kipande cha chini sijui ndio anatafuta kikubwa zaidi inaboa. We ukikaribisjwa fika chukua sepa.
Je wewe ni tabia gani hupendi kutoka kwa mgeni wako? Funguka hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu punguza uongo, kuku mmoja wanakula watu wawili, halafu tukija watu wanne utachinja kuku wanane!!!Maskini ni wachoyo.... Kwa nini upike KUKU mmoja angali ukijua familia ni kubwa? Kwangu mimi KUKU mmoja watu wawili, mkiwa wanne basi ni kuku nane watapikwa,, Kama unajua huwezi kumudu gharama za KUKU dagaa mbn hawajaisha madukani?? Na nyasi pia zipo... Acha kuwabania watu bhn hadi wagombaniane mapaja
Lawama nyingine Ni uchoyo Na roho mbaya tuu!!Habari zenu wa Jf
Kuna tabia ambazo wageni wamekua wakifanya masebuleni mwetu na sisi kiukweli hatuzipendi ila tunashindwa kuwaambia coz ni mgeni unaogopa kumuuzi.
Baadhi ya tabia zinazonikera mimi ni kama ifuatavyo
1. Mgeni kupandisha miguu juu ya kochi, inakera, kama unajisikia kukunja miguu yako si bora ukae chini basi uikunje vizuri. Kuliko kupandisha milonjo yako kochini.
2. Wakati wa chakula labda umekaanga kuku umeweka kwenye bakuli self service unamkaribisha mgeni badala achukue vipisi asepe yeye anaanza kuchakura chakura yani atafukua mpaka kipande cha chini sijui ndio anatafuta kikubwa zaidi inaboa. We ukikaribisjwa fika chukua sepa.
Je wewe ni tabia gani hupendi kutoka kwa mgeni wako? Funguka hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Lawama nyingine Ni uchoyo Na roho mbaya tuu!!
Wageni wenye heshima watu Na hadhi zao hata awe mtoto hilo Kochi lako ama chakula chako Mara nyingi huwa hata hawana habari navyo!!
Kwangu Mimi nisichopenda Ni uchafu tuu,pamoja na kukosa madili(heshima)
Mgeni asie jiheshimu ama kuheshimu wengine huyo kweli tutakosana tena mubashara!
Lakini mambo ya masofa,sijui Kochi,ama chakula yeye ajiachie kwa raha zake.
Kwenye sofa akitaka alale kabisa,apige na picha apost.
Chakla kama kipo,wala aspate tabu apakue,ale anachopenda,ashibe aimbe Na nyimbo kabisa!!!
Aidha ni vyema tukafahamu aina za wageni na hadhi zao
1.Watu wazima(hawa Mara nyingi huwa Ni watulivu,wengine huwa Ni watu Na heshima zao)lakini wengine huwa Na mapungufu yao mf.kuongea kupita kiasi n.k
2.Vijana(hawa maranyingi hupenda kujiachia)unaweza kukaa robo saa akamkuta anaomba no.ya simu ya binti wa jirani ama ukamkta mtaa wa pili anaongea Na simu.Hawa Ni rahisi kuweka mguu juu kwenye kochi
3.Watoto(hawa maranyingi huwa Ni wasumbufu)anaweza kuta amechafua sofa ama sebule yoote kaigeuza uwanja wa taifa
Aina hizi zimegawanyika katika makundi mawili Na Kati ya makundi haya wapo wenye TABIA NZURI na TABIA MBAYA:
I)Wageni wa mda mfupi mf.nususaa,saa zima ama siku moja (marafiki,ndugu,jirani,mfanyakazi mwenzako,shoga,n.k.hawa hukaa mda kidogo nakuondoka)
Hawa mda mwingi huwa wapo busy,tena anaweza akaja ameshiba Na zawadi kakuletea.Na huwa hawakai kihasara hasara kutokana Na kujali mda wao.
II)Wageni wa mda Mrefu mf.mwezi hadi mwaka(wanakaa,wanazoea na kuwa sehemu ya familia mf.ndugu)
Hawa ndo huwa chanzo cha lawama,tatizo linaweza liwe tabia kushindwa kuendana Na mwenyeji ama mwenyeji kumchoka Na kumtaftia visa.
N.B Nikweli wapo wageni wasumbufu,waovu,wenye nia mbaya Na wanaokera kulingana Na tabia Na mapungufu ya binadamu.Nivyema kutoa miongozo kwa wageni wetu ama kuwaepuka pale inapobidi.
Lakini pia tusisahau wenyeji wenye tabia mbaya mf.Gubu,uchoyo,ugomvi,roho mbaya...hawa kukaa Na mgeni huwa kwao Ni mtihani "mda woote anagomba ama kanuna"
Mwisho:wageni wenye nia njema Ni baraka..tuwakaribishe kwa ukarimu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu punguza uongo, kuku mmoja wanakula watu wawili, halafu tukija watu wanne utachinja kuku wanane!!!
Kwa hiyo mtu mmoja atakula kuku wawili na wala sio kuku mmoja watu wawili!!!
Wewe nawe kwani hujui vile vikuku vya wiki moja hata manyoa havina unazani ni wale wa singida noni hao wasiotembea hata nchi moja ta rulaMkuu punguza uongo, kuku mmoja wanakula watu wawili, halafu tukija watu wanne utachinja kuku wanane!!!
Kwa hiyo mtu mmoja atakula kuku wawili na wala sio kuku mmoja watu wawili!!!
Tena kama nimimi ili nisipate taabu nakamata hako kama nikasifuria au kiji hotpot navirusha kanakwamba napeta mchele zile zachini zote zinahamia juu alafu ndonakufungia show

Yani wwAha nimekuelewa,basi wawe wanajichonoa makalioni

![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Aiseee!! Me naondoka habo
Seblen namuachia mwenywe
Maana viatu vikitema
Shuhuli yake naijua hashwaa
[Color= yellow]Triple A[/color]
Akija tena weka remote control chumbani (imepotea)Mimi nakerwa na mgeni anakuta unaangalia mpira alafu anakuambia ubadilishe chanel umwekee anayoitaka
Dah! Pambafu kabisa wageni
Mwambie tuna kikao cha familiaWeek end umepumzika na familia yako sitting room halafu Jirani from no where anaibuka naye anakuja anakaa hapo hapo haondoki wakat anajua kabisa kaingilia pose la watu
kutema big G na kuipachika chini ya meza.Habari zenu wa Jf
Kuna tabia ambazo wageni wamekua wakifanya masebuleni mwetu na sisi kiukweli hatuzipendi ila tunashindwa kuwaambia coz ni mgeni unaogopa kumuuzi.
Baadhi ya tabia zinazonikera mimi ni kama ifuatavyo
1. Mgeni kupandisha miguu juu ya kochi, inakera, kama unajisikia kukunja miguu yako si bora ukae chini basi uikunje vizuri. Kuliko kupandisha milonjo yako kochini.
2. Wakati wa chakula labda umekaanga kuku umeweka kwenye bakuli self service unamkaribisha mgeni badala achukue vipisi asepe yeye anaanza kuchakura chakura yani atafukua mpaka kipande cha chini sijui ndio anatafuta kikubwa zaidi inaboa. We ukikaribisjwa fika chukua sepa.
Je wewe ni tabia gani hupendi kutoka kwa mgeni wako? Funguka hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani ww![]()
Mkuu ww noma uitwe kipindi cha chumban lkn sebuleni kumbe umebobeaukianza uzi wa tabia za chumbani uniite .sebuleni mimi sio mkaaji sana.ila kuna tabia ya watu kulala kwenye makochi mchana inauzi sana maana unaharibu kochi si ukalale chumbani