Tabia 7 za mwanamke zinazoshangaza

Jamani wanaume mmezidi kulalamika,kila ukifungua MMU ni mada za kuwalalamikia wanawake,kha!! Mpaka inaleta uvivu kukoment.
 
Jamani wanaume mmezidi kulalamika,kila ukifungua MMU ni mada za kuwalalamikia wanawake,kha!! Mpaka inaleta uvivu kukoment.

Ukiona malalamiko mengi ujue uovu pia ni mwingi.Maana aisifuye mvua imemnyea
 
Nenda kaperuz vtabu vtakatifu (Quran or Bible) upate kujua mwanaume kaagizwa nn juu ya mkewe, itakusaidia kuelewa kwann wanawake wapo hivyo walivyo! Mungu akusaidie ktk uanaume wako...coz ka vile umelemewa flan hv!!
 
Wow! A huge big up!! Mmmwwwwaaaaa! Wanawake ni jeshi kubwa!
 
Nenda kaperuz vtabu vtakatifu (Quran or Bible) upate kujua mwanaume kaagizwa nn juu ya mkewe, itakusaidia kuelewa kwann wanawake wapo hivyo walivyo! Mungu akusaidie ktk uanaume wako...coz ka vile umelemewa flan hv!!

Mleta mada dizaini Kama kalemewa hivi anahitaji msaada tutakuhonga sisi ohooooo!!!
 
Nenda kaperuz vtabu vtakatifu (Quran or Bible) upate kujua mwanaume kaagizwa nn juu ya mkewe, itakusaidia kuelewa kwann wanawake wapo hivyo walivyo! Mungu akusaidie ktk uanaume wako...coz ka vile umelemewa flan hv!!

Asante kwa ushauri,lakini bahati mbaya kwamba siamini katika chochote na wala sina dini na sihitaji.Karibu
 
Asili ya Mwanadam ndo inasema hivyo sio amri zangu Iron Lady.Hata mi naumia sana mnavotuhangaikia tukiwa wadogo.Lakini ukwel lazima sa zingine tuseme.

mkuu amini nakwambia sio tu sisi tunawahangaikia mkiwa wadogo, tunaendelea kuwahangaikia hadi kuzeeka kwenu na hatimaye hadi kufa kwenu.
yani nyinyi bila sisi hamuwezi kuishi vizuri yaani hamjatimia. ila sisi bila nyinyi tunaweza kuishi raha mstarehe. :thinking::thinking::wink2::clap2:
 
inaelekea hata mama yako unamchukia maana bila ya huyo mwanamke unayemchukia usingeletwa duniani ni heri angeitoa mimba yako aitupe hata chooni kuliko kuzaa kiumbe kama wewe.
 
Mara nyingi ukiwauliza "ushawahi fanya mapenzi?" anakujibu hapana siku ukikutana nae kimwili,unakuta arghhhhh!!!!
 
Labda sijui nini maana ya kushangaa au kushangazwa, ila sijaona kitu ambacho kipo very perculia ambacho kitatufanya tuwe amaized kwa maneno mengine tushangae. . .. . .labda na labda sijui au mtizamo wangu wa neno kushangaa ni tofauti na uhalisia wa neno hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…