Tabia 7 za mwanamke zinazoshangaza

MH unatembelea maeneo gani ambakao unakutana nao hao?
Hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
kweli kabisa hizo tabia na sifa anazozitaja kwa mara ya mwisho niliwaona kijijin kwetu kwa bibi mwaka 1969 lakn mpaka mwaka 1980 walikuwa hawana hzo tabia

Chunguza utaona Mgirik wapo wengi tu hapo huko mnapopaita mjini.
 
Last edited by a moderator:
pole sana,aina hiyo ya wanawake unawamendeaga kwenye mtandao gani wa kijamii?
 
Kwnye namba 5 apo,, Ivi Kwanini wanawake hawabadiliki tu? walet ya nini wakati sku izi mpesa kila mahali?
 
pole sana,aina hiyo ya wanawake unawamendeaga kwenye mtandao gani wa kijamii?

Wanawake wa humu wote hawajawai kula hata mia ya mwanamme, magari wanayoyamiliki wameyatoa kwenye mishahara yao.
 
Mkuu hizi tabia umetaja za demu wako,stop such generalization
 
Mkuu hizi tabia umetaja za demu wako,stop such generalization

Sio kweli,na unahakika gani kama nina demu?.Inawezekana ukwel ukawa mchungu.Unisamehe bure mkuu
 
Sio kweli,na unahakika gani kama nina demu?.Inawezekana ukwel ukawa mchungu.Unisamehe bure mkuu

Hao mademu wa vichochoroni mkuu,we umejuaje hizo tabia kama hujawahi.kukutana nao,pole sana,next time tafuta waschana ambao ni decent,achana na hao wa vichochorini watakutia presha buree
 
Kweli tuko tofauti,,,,,,, hapa nawaza kununua daf lf kumbe kuna wengine wanaangali hela za kwny wallet kweli dunia pana!!!!!!!!
 
Hebu njo kwangu uone nafanana na hzo tabia au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…