Tabata ndo inaongoza kwa usodoma na ugomora

Tabata ndo inaongoza kwa usodoma na ugomora

Yaaaan haya malezi ni mabaya saaanaa akimalizaa hapo anafaulu bordin school akifika kule anakutana na wenzake washapata elimu dunia yy anajua ya ndani tu hapo hapo wenzake waanza kumuharibu yaaan maisha ya sasa watoto wa kiume ndo wakuwalinda
Kabisa mtoto wa kiume ndo imekuwa tunawaogopea
 
Nikiambie kitu mwanaume straight kuwa shoga ni kitu kigumu, labda kama unasemea mwanamke kuingiliwa kinyume na maumbile ila mwanaume straight asiye na mambo nliyoyasema awalia ni ngumu sana kuwa shoga.

Kama wew ni mwanaume utaelewa nini nimemaanisha pia kama ni mwanadada utajifunza kitu. Nikupe task ndogo tafuta mtu shoga kuwa nae karibu then mdadisi vizuri background yake na familia yao am sure utagundua kitu tofauti sana.

Kitu kinasikitisha ni kuwa tunauchukulia ushoga kama jambo linaloletwa na mhusika mwenyewe tunasahau kuwa hilo ni jambo la kisaikolojia pia.

Umewahi jiuliza kwanin Bill Clinton au Tupac Shakur waliwahi tuhumiwa kujihusisha na ushoga?, basi nenda katafute usome opinions za wataalamu tofauti tofauti utajifunza jambo pia.

Kuna makala fulani niliwahi isoma inahusu ushoga na usagaji kwenye pre colonial Africa nayo ina points nyingi tu zinazokataa kuwa hayo mambo Afrika hayajaletw na utandawazi tena na evdence waliweka jaribu i google ukiipata hiyo au yoyote inayoongelea hayo mambo utapata kitu pia

Au tafuta watu waliowahi fanya research kuhusu hilo jambo utaona mengi sana kitu najaribu onesha hapa ni kuwa tusilichukulie simple hili swala ina mengi sana tusiyoyaelewa vizuri.

Mwisho, kwani hujawai ona su sikia kuwa kuna shoga anatafuta basha amfanyie hayo mambo kisha amlipe yeye embu niambie tamaa imetokea wapi apo?, labda chanzo chake alilawitiwa kinguvu au uonevu wa utotoni ulimjengea hofu yakujiona dhaifu akajijengea hali hiyo akaishia amini anaitaji kutawaliwa na mwanaume mwenzake kihisia za mapenzi

Remind you siyo kila shoga ni mlaini laini wapo wengine wakatili kweli kweli, jaribu waza upande huo wapili ndugu.
Naombaa nikwambiee kuwa mimi ni mw
Ww ni jinsia gan kwanza

Uache kudandiaa madai yako unadhani mimi shogaa ,ni ni mwanamke haya changiaa mada manake umejiandaa kunia attack lol
 
Naona Kinondoni tuivishe taji la kuwa na mashoga wengi
 
Hiyo tafiti imefanywa na nani mkuu maana ulivyoielezea ni kama vile umefanya tafiti Dar nzima
 
Kama kichwa kinavyojielezaa,

Kwa sasa hamna sehemu hapa Dar es Salaam inayoongoza kwa usodoma na ugomora kama Tabata kwa kifupi ile Sinza ya zamani imehamia Tabata.

Ufuska wote kwa sasa umehamia Tabata na kwa takwimu zilizopo Tabata ndo panaongoza kwa mashoga na wanaume wanaoishi na wanaume wenzao kama mume na mke yaani Tabata imejaa walaji na waliwaji.

Wazazi kuweni makini na watoto wenu nikimaanisha kuweni karibu nao na kuwapa malezi mazuri na kuwafundisha misingi mizuri kwa kuwapa elimu dunia na ya dini pia na wake kuweni makini na wanaume zenu usije shangaa hujawahi mfumania mumeo na mchepuko ukadhani kuwa ni mwaminifu sana u never know uchepukaji wake ni wa aina gani.

Hivyo kila abiria achunge mzigo wake(mume) na vifurushi vyake (watoto)

Msije sema hamkuambiwa
tabata kubwa .....maeneo gani?
 
Nipo 40-40 ya tabata mashoga kama wawili walishawai nisumbua sana
 
tabata kubwa .....maeneo gani?
Hiyo tafiti imefanywa na nani mkuu maana ulivyoielezea ni kama vile umefanya tafiti Dar nzima
Tabata ndo inaongoza kwa waliwaji na wala tigo haijalishi wako kwenye ndoa au wapo nje ya ndoa,vijana na watoto fanya uchunguzi wako hayo mengine siwez kuingiaa deep saana
 
Tabata ndo inaongoza kwa waliwaji na wala tigo haijalishi wako kwenye ndoa au wapo nje ya ndoa,vijana na watoto fanya uchunguzi wako hayo mengine siwez kuingiaa deep saana
Samahani naona ni wrong number
 
Tabata ipi mkuu nimezaliwa mwaka 1950 hapa tabata nipo tu sijahama lakini sijawahi yaona hayo
 
Ila ata siku hizi mambo yamebadilika sana. Huwezi kumla demu bila kula tigo. Ata stori vijiweni ni tigooo tigooo. Ata mm siku moja nimemaliza mzigo mara paaa dogo anadai kwenye mbolea kunawashaaa. Nikapataaa dhambii nikaenda kutubu. Ila sikumrudia tena.
Hahahah we jamaa ni mpuuzi umenikumbusha mshkaji kitaa tumeenda church kutubu, Eti tunatoka ananiambia dhambi ya kuzini hajatubu kisa anamiadi na dem so sidhani kama kweli ulichosema
 
Mambo haya yanaletwa na Kulea watoto kama Mayai ndani yasipasuke.. litoto toka lizaliwe huwa Halichezi na Watoto wenzake unalifungia Getini ndani ... Linafikisha Miaka 2-4 unapeleka Shuleni na Magari halionani na wenzake. Wakati wenzake wanasoma St Kayumba Wanaenda kwa Furaha ...

Mtoto wako akirudi kazi yake kucheza na Mfanyakazi wa ndani tena wa Kike. Tegemea ushoga

Utakuta toto lenyewe bonge nyanya ngozi laini halafu linaogopa kwenda Tandika au Kigogo peke yake. Halijui jinsi ya kuunganisha route za daladala
 
Anakwambia na yy eti anajivunia uumbaji wa Mungu amepewa kishuzi
a5655684721696c3f4d3b56209a77191.jpg
ASTAKAFULILAI.
 
Back
Top Bottom