Tabata ndo inaongoza kwa usodoma na ugomora

Tabata ndo inaongoza kwa usodoma na ugomora

tabata na wakaaji wake asilimiaaa 75 kizazi cha sodoma na gomora fuatliaa mkuu kuna ma house party ya mashoga na vibao kata vinafanyika huko tabata ni balaaaa usiombe siku uuhudhurieee
"mazoea ya makadirio'' teh teh mambo mabaya yanaendelea ila sio kwa ukubwa huo, pia huwa kuna issue iko Dar nafikiri ni tatizo la kisaikolojia "kupenda mambo mabaya/dhalili yatokee kwa watu fulani", unaweza kuta chalii anapambana hana time na vijiwe watu wanamtengenezea rumours kama hizo shoga, jambazi e.t.c kwa kifupi life ya kibepari inafanya tunachukiana
 
Kama kichwa kinavyojielezaa,

Kwa sasa hamna sehemu hapa Dar es Salaam inayoongoza kwa usodoma na ugomora kama Tabata kwa kifupi ile Sinza ya zamani imehamia Tabata.

Ufuska wote kwa sasa umehamia Tabata na kwa takwimu zilizopo Tabata ndo panaongoza kwa mashoga na wanaume wanaoishi na wanaume wenzao kama mume na mke yaani Tabata imejaa walaji na waliwaji.

Wazazi kuweni makini na watoto wenu nikimaanisha kuweni karibu nao na kuwapa malezi mazuri na kuwafundisha misingi mizuri kwa kuwapa elimu dunia na ya dini pia na wake kuweni makini na wanaume zenu usije shangaa hujawahi mfumania mumeo na mchepuko ukadhani kuwa ni mwaminifu sana u never know uchepukaji wake ni wa aina gani.

Hivyo kila abiria achunge mzigo wake(mume) na vifurushi vyake (watoto)

Msije sema hamkuambiwa
taja maeneo itakuwa njema zaidi tabata kubwa mkuu
 
Nikiambie kitu mwanaume straight kuwa shoga ni kitu kigumu, labda kama unasemea mwanamke kuingiliwa kinyume na maumbile ila mwanaume straight asiye na mambo nliyoyasema awalia ni ngumu sana kuwa shoga.

Kama wew ni mwanaume utaelewa nini nimemaanisha pia kama ni mwanadada utajifunza kitu. Nikupe task ndogo tafuta mtu shoga kuwa nae karibu then mdadisi vizuri background yake na familia yao am sure utagundua kitu tofauti sana.

Kitu kinasikitisha ni kuwa tunauchukulia ushoga kama jambo linaloletwa na mhusika mwenyewe tunasahau kuwa hilo ni jambo la kisaikolojia pia.

Umewahi jiuliza kwanin Bill Clinton au Tupac Shakur waliwahi tuhumiwa kujihusisha na ushoga?, basi nenda katafute usome opinions za wataalamu tofauti tofauti utajifunza jambo pia.

Kuna makala fulani niliwahi isoma inahusu ushoga na usagaji kwenye pre colonial Africa nayo ina points nyingi tu zinazokataa kuwa hayo mambo Afrika hayajaletw na utandawazi tena na evdence waliweka jaribu i google ukiipata hiyo au yoyote inayoongelea hayo mambo utapata kitu pia

Au tafuta watu waliowahi fanya research kuhusu hilo jambo utaona mengi sana kitu najaribu onesha hapa ni kuwa tusilichukulie simple hili swala ina mengi sana tusiyoyaelewa vizuri.

Mwisho, kwani hujawai ona su sikia kuwa kuna shoga anatafuta basha amfanyie hayo mambo kisha amlipe yeye embu niambie tamaa imetokea wapi apo?, labda chanzo chake alilawitiwa kinguvu au uonevu wa utotoni ulimjengea hofu yakujiona dhaifu akajijengea hali hiyo akaishia amini anaitaji kutawaliwa na mwanaume mwenzake kihisia za mapenzi

Remind you siyo kila shoga ni mlaini laini wapo wengine wakatili kweli kweli, jaribu waza upande huo wapili ndugu.
Duu
 
Back
Top Bottom