Wanaume na wanawake wa Dar wamekusikia mkuu.Msije sema hamkuambiwa
Wewe baada ya kujenga umeacha?Sinza sikuhizi wengi ni Tumsifu Yesu Kristu
Yaaaan haya malezi ni mabaya saaanaa akimalizaa hapo anafaulu bordin school akifika kule anakutana na wenzake washapata elimu dunia yy anajua ya ndani tu hapo hapo wenzake waanza kumuharibu yaaan maisha ya sasa watoto wa kiume ndo wakuwalindaMambo haya yanaletwa na Kulea watoto kama Mayai ndani yasipasuke.. litoto toka lizaliwe huwa Halichezi na Watoto wenzake unalifungia Getini ndani ... Linafikisha Miaka 2-4 unapeleka Shuleni na Magari halionani na wenzake. Wakati wenzake wanasoma St Kayumba Wanaenda kwa Furaha ...
Mtoto wako akirudi kazi yake kucheza na Mfanyakazi wa ndani tena wa Kike. Tegemea ushoga
Muongo tu hukuondoka wala nini ulimla tigo.. kwani mnasemaga? Acha stori za movie za kihindiAisee sitokaa nisahau siku nmemkuta dem kwenye daladala nkiwa natoka tabata mawenzi naenda chuo NIT, nikachukua namba mzee nikaingia kazini kumuimbisha mtoto akanielewa. Mipango ikakaa sawa si tukapanga miadi. Ile nmekodi uwanja dem kaja anasema nataka bia nkampa idadi aliyokuwa anataka tukaenda uwanjani kula lile tunda la kati, duuh nashangaa katikati ya mechi duu ananiambia vipi back hutumii? Nliishiwa nguvu nikamwambia mama naomba vaa nguo ondoka haraka. Ile anagomagoma nikavaa mimi nkamuacha. Dah tabata shkamoo japo ndo hom.
Imekuwa sinza ya wajanja ila wacha MUNGU.Yaaan na waliobaki wachache utawakuta bale elegance kwa nje na wengi wao ni wanawake wanaune wengi utawakuta la chalz pale ila kwa kifupi sinza imepooozaaaa sio ilensinza ya enzi zike daah ilikuwa kufuru
Tabata issa new sinza kwa wajanja sijui wala bata so kikichokuwa kinatokeaa sinzaa ndo kinatokeaa tabata mara 5 yake yaaani ni kufuru mpka unaweza sema Mungu hayupo mbezi kawaidaaaWenye fweza washakuwa wastaafu then watoto waliosomeshwa na hao Sinza dingiz utawakuta Tabata na Mbezi. Mwendo wa bata tu pande zetu huku Toroka uje. Lkn pia tukiwa wadogo huko Sinza Pande za Silent In, Cafe Latino nk tulikula bata za kufa mtu
Mambo haya yanaletwa na Kulea watoto kama Mayai ndani yasipasuke.. litoto toka lizaliwe huwa Halichezi na Watoto wenzake unalifungia Getini ndani ... Linafikisha Miaka 2-4 unapeleka Shuleni na Magari halionani na wenzake. Wakati wenzake wanasoma St Kayumba Wanaenda kwa Furaha ...
Mtoto wako akirudi kazi yake kucheza na Mfanyakazi wa ndani tena wa Kike. Tegemea ushoga
wengi wanaokuja kufanya yao huku tbt si wakazi. kama ilivyokuwa sinza au maeneo mengine ya beach.Hahaha usijitetee nasema kitu ninachokijuaa tabata na wakaaji wake asilimiaaa 75 kizazi cha sodoma na gomora fuatliaa mkuu kuna ma house party ya mashoga na vibao kata vinafanyika huko tabata ni balaaaa usiombe siku uuhudhurieee
Sasa huku tabata shoga anakufata live live uwiiiii kuna siku nipo na bwana angu nikawa nimeenda wash room ile narudi nakuta kishoga kishajikalishaa kinajiongeleshaa nilimtimuajeeNashangaa Juliana Shonza anakimbizana na kina Giggy Money tu,Vp Waziri anayeshughulika na jamii,Yupo wapi? Kina James Delicious wapo kibao mtandaoni wanauza "MITARO" waziwazi.