Mambembe
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 2,217
- 2,971
Kama kichwa kinavyojielezaa,
Kwa sasa hamna sehemu hapa Dar es Salaam inayoongoza kwa usodoma na ugomora kama Tabata kwa kifupi ile Sinza ya zamani imehamia Tabata.
Ufuska wote kwa sasa umehamia Tabata na kwa takwimu zilizopo Tabata ndo panaongoza kwa mashoga na wanaume wanaoishi na wanaume wenzao kama mume na mke yaani Tabata imejaa walaji na waliwaji.
Wazazi kuweni makini na watoto wenu nikimaanisha kuweni karibu nao na kuwapa malezi mazuri na kuwafundisha misingi mizuri kwa kuwapa elimu dunia na ya dini pia na wake kuweni makini na wanaume zenu usije shangaa hujawahi mfumania mumeo na mchepuko ukadhani kuwa ni mwaminifu sana u never know uchepukaji wake ni wa aina gani.
Hivyo kila abiria achunge mzigo wake(mume) na vifurushi vyake (watoto)
Msije sema hamkuambiwa