Ok naomba nikujibu hivi kwa uelewaa wangu mdogo nilio nao
Mashoga wengi wa kipindi hiki ni TAMAA tu nothing else kuhusu familiaa naweza kusema ni asilimiaa 2%why nasema hivyo unakuta mtu straight anataka kujaribu kutokana na story alizozisikiaaa so na makundi nayo yanachangiaaa
Nikiambie kitu mwanaume straight kuwa shoga ni kitu kigumu, labda kama unasemea mwanamke kuingiliwa kinyume na maumbile ila mwanaume straight asiye na mambo nliyoyasema awalia ni ngumu sana kuwa shoga.
Kama wew ni mwanaume utaelewa nini nimemaanisha pia kama ni mwanadada utajifunza kitu. Nikupe task ndogo tafuta mtu shoga kuwa nae karibu then mdadisi vizuri background yake na familia yao am sure utagundua kitu tofauti sana.
Kitu kinasikitisha ni kuwa tunauchukulia ushoga kama jambo linaloletwa na mhusika mwenyewe tunasahau kuwa hilo ni jambo la kisaikolojia pia.
Umewahi jiuliza kwanin Bill Clinton au Tupac Shakur waliwahi tuhumiwa kujihusisha na ushoga?, basi nenda katafute usome opinions za wataalamu tofauti tofauti utajifunza jambo pia.
Kuna makala fulani niliwahi isoma inahusu ushoga na usagaji kwenye pre colonial Africa nayo ina points nyingi tu zinazokataa kuwa hayo mambo Afrika hayajaletw na utandawazi tena na evdence waliweka jaribu i google ukiipata hiyo au yoyote inayoongelea hayo mambo utapata kitu pia
Au tafuta watu waliowahi fanya research kuhusu hilo jambo utaona mengi sana kitu najaribu onesha hapa ni kuwa tusilichukulie simple hili swala ina mengi sana tusiyoyaelewa vizuri.
Mwisho, kwani hujawai ona su sikia kuwa kuna shoga anatafuta basha amfanyie hayo mambo kisha amlipe yeye embu niambie tamaa imetokea wapi apo?, labda chanzo chake alilawitiwa kinguvu au uonevu wa utotoni ulimjengea hofu yakujiona dhaifu akajijengea hali hiyo akaishia amini anaitaji kutawaliwa na mwanaume mwenzake kihisia za mapenzi
Remind you siyo kila shoga ni mlaini laini wapo wengine wakatili kweli kweli, jaribu waza upande huo wapili ndugu.