secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 21,639 Reaction score 44,537 May 5, 2026 #61 ShesRise_1 said: Wapelekee moto Click to expand... 🔥💪
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 117,093 Reaction score 189,967 May 5, 2026 #62 ShesRise_1 said: [emoji28][emoji28] Click to expand... Siweziii [emoji23][emoji23][emoji23]
Eyce JF-Expert Member Joined Mar 16, 2016 Posts 8,331 Reaction score 28,576 May 5, 2026 #63 ERoni said: Nimecheka lakini umeongea fact! Click to expand... Ndio maisha kaka 😁🙏🏽
Mme Mwenza JF-Expert Member Joined Feb 6, 2025 Posts 2,720 Reaction score 3,887 May 6, 2026 #64 ShesRise_1 said: Inasemekana watu wanaotabasamu wakati wa hasira hua watu wabaya sana wanaweza kufanya matukio ya kutisha Click to expand... ni kwel nikikupangia kisasi huchomoki asilimia 100% make hutanidhania asee. Mim ni mpole mkimya
ShesRise_1 said: Inasemekana watu wanaotabasamu wakati wa hasira hua watu wabaya sana wanaweza kufanya matukio ya kutisha Click to expand... ni kwel nikikupangia kisasi huchomoki asilimia 100% make hutanidhania asee. Mim ni mpole mkimya
ShesRise_1 JF-Expert Member Joined Aug 21, 2025 Posts 17,798 Reaction score 42,330 May 6, 2026 Thread starter #65 Mme Mwenza said: ni kwel nikikupangia kisasi huchomoki asilimia 100% make hutanidhania asee. Mim ni mpole mkimya Click to expand... Usilipe visasi
Mme Mwenza said: ni kwel nikikupangia kisasi huchomoki asilimia 100% make hutanidhania asee. Mim ni mpole mkimya Click to expand... Usilipe visasi
Mme Mwenza JF-Expert Member Joined Feb 6, 2025 Posts 2,720 Reaction score 3,887 May 6, 2026 #66 ShesRise_1 said: Usilipe visasi Click to expand... na bora nikupangie kisasi tu, nikisema nimuachie Mungu, utajuta nakunihs mim mchawi. Ila kwa sasa nishajigundua mtu akinikosea natabasam na kupotezea
ShesRise_1 said: Usilipe visasi Click to expand... na bora nikupangie kisasi tu, nikisema nimuachie Mungu, utajuta nakunihs mim mchawi. Ila kwa sasa nishajigundua mtu akinikosea natabasam na kupotezea
ShesRise_1 JF-Expert Member Joined Aug 21, 2025 Posts 17,798 Reaction score 42,330 May 6, 2026 Thread starter #67 Mme Mwenza said: na bora nikupangie kisasi tu, nikisema nimuachie Mungu, utajuta nakunihs mim mchawi. Ila kwa sasa nishajigundua mtu akinikosea natabasam na kupotezea Click to expand... Tabasamu 😊😊
Mme Mwenza said: na bora nikupangie kisasi tu, nikisema nimuachie Mungu, utajuta nakunihs mim mchawi. Ila kwa sasa nishajigundua mtu akinikosea natabasam na kupotezea Click to expand... Tabasamu 😊😊
Mme Mwenza JF-Expert Member Joined Feb 6, 2025 Posts 2,720 Reaction score 3,887 May 6, 2026 #68 ShesRise_1 said: Tabasamu Click to expand... NIPATE FURAHA
Chadema 2030 JF-Expert Member Joined May 5, 2025 Posts 1,920 Reaction score 3,756 May 6, 2026 #69 ShesRise_1 said: Nikupe location uje kunywa bia Click to expand... wap my dear nije chap?
Xiao qui shui JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 6,449 Reaction score 11,319 May 6, 2026 #70 AHSANTE KWA TAARIFA