Tabasamu lako ni ishara ya nini?☺️☺️

Your browser is not able to display this video.
 
Mtoto mchanga/mdogo akiniangalia kwa tabasamu, huwa narudisha lile la kutoka moyoni kabisa kwa sababu ya innocence yao.

Ila hawa watu wazima HAPANA, wengine tabasamu ni strategy tu kwa sababu hata mimi naweza kutabasamu au kucheka mbele ya mtu ila kwa huruma au dharau hasa kama alikuwa anajaribu kwa nguvu zake zote kunikathirisha.
 
Inavutia sana🥰

Hapa imenibidi nicheke
 
Nimecheka lakini umeongea fact!
 
Huu sasa Unafiki, mie siwezi.
Sitanuna wala sita tabasamu, nitakua kawaida tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…