Taasisi zenye mishahara mikubwa Tanzania

Taasisi zenye mishahara mikubwa Tanzania

Wanatakiwa kujua wapi kwenye maslahi makubwa wapambane kwenda. Kuwa na taarifa sahihi kunamsaidia mtu kuwa na mikakati na malengo sahihi.
atakayewapeleka huko ni nani wakati watot wao wenyewe hawatoshei huko na ukiotaka kujua hali mbaya angalia juzi kati usaili wa TRA, kuna madudu unlimited ukiona hayo majina ndio utajua hujui.
 
atakayewapeleka huko ni nani wakati watot wao wenyewe hawatoshei huko na ukiotaka kujua hali mbaya angalia juzi kati usaili wa TRA, kuna madudu unlimited ukiona hayo majina ndio utajua hujui.
Giving up is not an option. Nisipofika mimi, watafika majirani zangu au ndugu zangu. I will fight till last drop. Huko ndiko naweza kupata mtaji wa kusimamisha biashara za kunitoa kwenye ufukara.
 
Back
Top Bottom