Roadmap
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,898
- 5,797
Wanajamvi Habari za wikìend kiukweli nimeshangazwa na taasisi na mashirika ya umma ya nchini hapa kushindwa kuverify account zao katika social media sitaki kuamini kama hawaoni umuhimu kufanya ivo ila tu ujue mtu akisoma habari fulani katika page verified basi anakuwa na amani na trust inaongeza leo nilikuwa na peruzi Twitter nimeshangazwa kwa kweli mfano majirani zetu wame verify account zao balaa kabisa sisi shida nini. Ukurusa ambao uko verified unakuwa na tick ya blue hii ni page official ya ttcl na air Tanzania ila zote haziko verified na huu ni ukurusa wa kenya airways uko verified