Wakati dunia na mataifa ya Magharibi ya Ulaya na Marekani, yakifanya jitihada kubwa kukusanya wasomi wenye vipaji toka sehemu mbalimbali duniani, kwa ajili ya tafiti na vumbuzi ili kijipeleka mbele zaidi kisayansi na kiteknolojia;
na wakati wasomi wanaosaka maslahi zaidi kimaisha wakiendelea kukimbilia Ulaya na Marekani (Brain drain), Wabunge masilahi Tanzania wanafanya jitihada za kubwa kufukuza na kuwakatisha tamaa wachache wenye nyoyo za Uzalendo.
Profesa Muhongo, ni mmoja wa wanasayansi mahiri katika sayansi ya madini (Geologist), anayetambuliwa na kuheshimika na mashirika mbalimbali ya kisayansi na tafiti ulimwenguni.
Miongoni mwa taasisi zinazoaminika kimataifa zinazomtambua na kumtumia Profesa Muhongo katika uwezo wake wa utendaji wa Kazi ni pamoja na FGSA la Marekani, FGS la London, Uingereza: Hon FCAGS la London, Uingereza; Hon FCGS la China, na Chuo cha kuendelea Sayansi ya dunia (FTWAS).
(Source AL-HUDA)

Hakuna ubishi kwamba Profesa Muhongo anatufaa sana kwenye sayansi ya miamba, lakini siyo uwaziri. Ni makosa na matumizi mabaya ya ujuzi wao, kama wasomi waliobobea wanateuliwa kuwa wanasiasa! Nafasi ya uwaziri ilimfanya awe muongo, wakati kimsingi mwanasayansi kama yeye hawezi kushindwa kuelewa kuwa account ya escrow ilikuwa na pesa za uma!
unapoteza muda wako buuure kumrudisha Muongo jamvini hapa ajadiliwe; kumbuka "Dead people dont count na Muongo is dead meat as far as many of us are concerned!; hatuna haja naye hapa Tz; kama Muongo angekuwa na chembe ya akili iliyochanganyika na hekima na busara; na mtu anayejitambua alitakiwa kubaki huko huko kwenye taaluma yake ya mawe; miamba; vumbi, kokoto na mchanga na madarasani! hatuna haja ya mtu mwenye too much bookish knowledge minus human management skills; hatuna haja nae; Tanzania can manage without one stupid arrogant technocrat
mjadala kuhusu Muongo ulikwisha; hao wanaomuhitaji na wamchukue. Bs
Hivi mniambie kama siyo siasa chafu muhongo kosa lake ni lipi?Hii post yako naifananisha na baba anayedharau familia yake na kuihujumu halafu akitoka nje ya familia yake anapata sifa toka kwa watu baki. Ni hivi hakuna mwenye shida naye na hakuna haja ya kuja kutueleza hapa maana unatafuta tu watu wamkejeli na kuishia kutukana. Kama yeye ni bora huko nje hewala hapa kwetu aligeuka mtu wa majivuno na dharau na uwezo wake mkubwa tumeuona kwenye uwizi wa escrow huku akiongea uwongo wa dhahiri bungeni. Na kama sasa wazungu wameishia kutoa kazi bila kuangalia cv ya mtu alikotokea ni haki yao sisi kama taifa hatuna cha kupoteza. Halafu mwambieni hizo mbwembwe anazoleta za kuturingishia hakuna hata mtu mmoja anajali kwani sasa maisha yetu yanaendelea kama kawaida na hizo bei za umeme karibia zitashuka bila uwepo wake.
Hii post yako naifananisha na baba anayedharau familia yake na kuihujumu halafu akitoka nje ya familia yake anapata sifa toka kwa watu baki. Ni hivi hakuna mwenye shida naye na hakuna haja ya kuja kutueleza hapa maana unatafuta tu watu wamkejeli na kuishia kutukana. Kama yeye ni bora huko nje hewala hapa kwetu aligeuka mtu wa majivuno na dharau na uwezo wake mkubwa tumeuona kwenye uwizi wa escrow huku akiongea uwongo wa dhahiri bungeni. Na kama sasa wazungu wameishia kutoa kazi bila kuangalia cv ya mtu alikotokea ni haki yao sisi kama taifa hatuna cha kupoteza. Halafu mwambieni hizo mbwembwe anazoleta za kuturingishia hakuna hata mtu mmoja anajali kwani sasa maisha yetu yanaendelea kama kawaida na hizo bei za umeme karibia zitashuka bila uwepo wake.
Hivi mniambie kama siyo siasa chafu muhongo kosa lake ni lipi?
1. Lilipokuja ombi hili toka BOT alimuandikia Attorney General kutaka ushauri wa kisheria kuhusu suala hilo
2. Attorney General alipoleta mrejesho kuwa kulikuwa hakuna utata wowote wa kisheria kuhusu utoaji wa fedha hizo
3 Naye alimuandikia governor wa BOT kuwa serikali ilikuwa haina objection kutoa malipo hayo
Hebu tumieni mantiki makosa yake ni yapi?
kama ni hivyo mbona governor wa bot ambaye alirelease hizo pesa hajaguswa?
Ukweli ni kwamba sisi tuna mila za kutothamini na kuvizodoa vya kwetu ambavyo vinapotambulika ulimwenguni sisi tunabaki na alama ya kuuliz tu na muhongo siye wa kwanza kuna wataalamu wengi tu ambao tumewafanyia visa wakaongdoka na huko walipokwenda walifanikiwa kuiletea nchi yetu sifa.
Tafakari kauli hii ya basha lako kwa umakini... " Watanzania wanamitaji ya kukamua juicy tu" ..."Hawana Uwezo wa kumiliki utajiri wa Gas"... Then Uliza OPHIR GAS walitengeneza kiasi gani na Waliwekeza kiasi GANI? ... Kwanini Maliasili zetu hazitumiwi kama Collateral? ... Najua kuwa wewe ni akili ndogo kama huyo jamaa yako alierudia darasa la saba mara 7 ... Tambua kuwa Intelligensia ya mtu hujengwa na kuonekana Udogoni...
unapoteza muda wako buuure kumrudisha Muongo jamvini hapa ajadiliwe; kumbuka "Dead people dont count na Muongo is dead meat as far as many of us are concerned!; hatuna haja naye hapa Tz; kama Muongo angekuwa na chembe ya akili iliyochanganyika na hekima na busara; na mtu anayejitambua alitakiwa kubaki huko huko kwenye taaluma yake ya mawe; miamba; vumbi, kokoto na mchanga na madarasani! hatuna haja ya mtu mwenye too much bookish knowledge minus human management skills; hatuna haja nae; Tanzania can manage without one stupid arrogant technocrat
mjadala kuhusu Muongo ulikwisha; hao wanaomuhitaji na wamchukue. Bs
Hapo ndipo tatizo lilipo. Fisadi Mengi hajazoea kuambiwa UKWELI. Hajazoea kukutana na KISIKI. Yeye alishazoea KUABUDIWA TU kama wewe na wezako wengine mnavyofanya. Sasa alipokutana na Mzalendo asiyetetereka, mwenye kusema ukweli daima bila kupindisha wala kubagua, ndo hapo chuki dhidi ya Prof Muhongo zilipoibuka waziwazi. Yeye na timu yake, kwa kutumia vyombo vyake vya habari akaanzisha vita na Muhongo. Alitarajia ataabudiwa na Muhongo kama alivyozoea. Watanzania tulisikia, tena mchana kweupe akikaribishwa na Muhongo aende TPDC kama anavyo vigezo ili apewe kitalu lakini akaingia mitini kwa kujua hana mtaji wa kutosha. Bdala yake akaanza kupotosha umma kwa makusudi kuwa watanzania wametukanwa na kudhalilishwa kuwa hawana uwezo wa kuwekeza. Kama kawaida yake, ili ku-win sympathy ya watu, akawajumuisha watanzania wote ili wamuunge mkono. Hii ni 'fallacy of appeal to pity'. Kwa bahati nzuri, Watanzania wana akili na uelewa, tunaelewa kilicho nyuma ya pazia na kamwe team Mengi haitakaa itu-win sisi wapenda maendeleo. Hapo mmeshindwa, poleni.
Kuna mtu aliwahi kumdharau profesa Muhongo kwamba sio msomi? Na kilicho mwondoa wizara ya Nishati na madini sio under performance bali uzembe uliosababisha watu wapige zile pesa za Escrow pamoja na uuzwaji wa hisa from mmiliki wa mwanzo wa IPTL to PAP bila serikali kupata chake, tusibadiri topic, hakuna aliyesema Muhongo sio msomi.
Hivi mniambie kama siyo siasa chafu muhongo kosa lake ni lipi?
1. Lilipokuja ombi hili toka BOT alimuandikia Attorney General kutaka ushauri wa kisheria kuhusu suala hilo
2. Attorney General alipoleta mrejesho kuwa kulikuwa hakuna utata wowote wa kisheria kuhusu utoaji wa fedha hizo
3 Naye alimuandikia governor wa BOT kuwa serikali ilikuwa haina objection kutoa malipo hayo
Hebu tumieni mantiki makosa yake ni yapi?
kama ni hivyo mbona governor wa bot ambaye alirelease hizo pesa hajaguswa?
Ukweli ni kwamba sisi tuna mila za kutothamini na kuvizodoa vya kwetu ambavyo vinapotambulika ulimwenguni sisi tunabaki na alama ya kuuliz tu na muhongo siye wa kwanza kuna wataalamu wengi tu ambao tumewafanyia visa wakaongdoka na huko walipokwenda walifanikiwa kuiletea nchi yetu sifa.
unapoteza muda wako buuure kumrudisha Muongo jamvini hapa ajadiliwe; kumbuka "Dead people dont count na Muongo is dead meat as far as many of us are concerned!; hatuna haja naye hapa Tz; kama Muongo angekuwa na chembe ya akili iliyochanganyika na hekima na busara; na mtu anayejitambua alitakiwa kubaki huko huko kwenye taaluma yake ya mawe; miamba; vumbi, kokoto na mchanga na madarasani! hatuna haja ya mtu mwenye too much bookish knowledge minus human management skills; hatuna haja nae; Tanzania can manage without one stupid arrogant technocrat
mjadala kuhusu Muongo ulikwisha; hao wanaomuhitaji na wamchukue. Bs
Ni wewe tu ndio huna shida nae, walio wengi bado tunamhitaji. Usitujumuishe kwenye ujinga wako!
Hapo ndipo tatizo lilipo. Fisadi Mengi hajazoea kuambiwa UKWELI. Hajazoea kukutana na KISIKI. Yeye alishazoea KUABUDIWA TU kama wewe na wezako wengine mnavyofanya. Sasa alipokutana na Mzalendo asiyetetereka, mwenye kusema ukweli daima bila kupindisha wala kubagua, ndo hapo chuki dhidi ya Prof Muhongo zilipoibuka waziwazi. Yeye na timu yake, kwa kutumia vyombo vyake vya habari akaanzisha vita na Muhongo. Alitarajia ataabudiwa na Muhongo kama alivyozoea. Watanzania tulisikia, tena mchana kweupe akikaribishwa na Muhongo aende TPDC kama anavyo vigezo ili apewe kitalu lakini akaingia mitini kwa kujua hana mtaji wa kutosha. Bdala yake akaanza kupotosha umma kwa makusudi kuwa watanzania wametukanwa na kudhalilishwa kuwa hawana uwezo wa kuwekeza. Kama kawaida yake, ili ku-win sympathy ya watu, akawajumuisha watanzania wote ili wamuunge mkono. Hii ni 'fallacy of appeal to pity'. Kwa bahati nzuri, Watanzania wana akili na uelewa, tunaelewa kilicho nyuma ya pazia na kamwe team Mengi haitakaa itu-win sisi wapenda maendeleo. Hapo mmeshindwa, poleni.
chakutaka
Tujitambue na maslahi yetu kuliko kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.
- AL-HUDA ni nini?
- Ni katika jukwaa lipi ametambulika?
- Hata wakimtambua, kama katuharibia tumkumbatie kwa kuwa wamemtambua?
- Je wako kwa maslahi yetu au yao?
Hata sisi tunajua Muhongo msomi! akiwa kazi anajanya vizuri na hayo mashirika. lkn katuibia au majizi yamemwingiza mkenge tufanyeje? tumwache sababu wazungu wanamtambua, jadili issue sio mtu. kwa iyo mtu akitwibia au kutuingizia hasara tumwache kozi ana elimu.