Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Mi ntakuwa sichezi na wewe.
hii ligha ni ya matusi eti..
ngoja atakuja hope amesikia wito huu
Kwa muda mrefu nimekuwa kwenye relation na huyu Ladymasa. Lakini tangu nitoe post iliyokuwa inaeleza wanawake ambao majina yao yanaanza na A ni wazuri zaidi, wana akili zaidi na wanaishi muda mrefu basi uhusiano ukaingia doa.
Zikiwa zimebaki dakika 6, samahan siku 6 kufika siku ya wapendanao mimi natangaza rasmi kubwaga manyanga. Na kuanzia sasa naanza search upya. Vigezo na masharti ya jina kuanza na A kuzingatiwa. Ila pia natafuta bestman na bestwoman.
NB:
Wenye A tu wanaruhusiwa ku-apply. Na application zote zitumwe hapa hapa. Na SITAKI aliyekaguliwa na babu Asprin
Tumia nyuklia kutidua ardhi au potezea wote wawili.Mkuu mpaka ulipate kishazama zamanii.. Ila huwa wanakuwa na ya kuzugia..na chini yana kona za kutosha.
Niacheni nipo busy kutimiza wajibu niliopewa na Lady doctor
ile safari imekaribia
yakwenda wapi tena
Mkuu ni nitonye uyo ndio kanivunjia.
Huyo M.E.M.A ananisingizia tu
hahahahha pole saaana mkuuKumbe walipanga kwenda kwenye hotel chini ya maji..duh
ladyfurahia upo...?