Huyu atakuwa amesababisha umwage manyanga itakuwa alianza kummendea toka mwanzoHahaa mkuu umepigwa chenga ile ya mtu kujipa pasi mwenyewe. Ila speed yako ikiwa kubwa basi utaukuta mpira kabla yake..
Kuna nini hapa mbona nasikia makelele
Kuna nyumba inabomolewa na nyingine inaanza kujengwa.
Umenifanya nicheke. Hujaikanyaga kweli wewe!!?
hahaha...... Hebu chungulia chini hapo, haipo?
Hapa ngoja niondoke mapemaaaa! Vimeanza na vya kuchunguliana tena?
Staki nije kuitwa ushahidini .
hahaha...... Hebu chungulia chini hapo, haipo?
Afanyeje? nitakuchapa
hahaha...... Hebu chungulia chini hapo, haipo?
ukimuona panya anajiamini sana..ujue kuna shimo karibu.
Kuchungulia chini tena? Lady doctor mwongozo tafadhali.
Afanyeje? nitakuchapa