Anhaa basi subiri wenye vigezo watume application
We nawe umekuja kufanya nini huku tena?Kuna nini hapa mbona nasikia makelele
Aaaaah mkuu huyo kwako hajatimiza vigezoDah...najuuta kumpa jamaa kazi hii.
Hapana huyu kasema atapitisha CV ndo naisubiri nitakupa taarifa kama ana vigezoIla mkuu mbona umeanza kutupa ndoano kabla ya kuipitia CV.!!
Mimi kdume bwana nitatumaje hiyo application kwa kidume mwenzangu?mbona wewe unajitoa yakheee...
Naye anampango wa kwenda hapo?
Kumbe ww ndio chanzo cha vurugu! Nimekukamataa sijakukamata?
Dah! watu mnatumia fursaaaaNdio mke wangu mtarajiwa kwa sasa