ata ivo sina vigezoBasi naomba uingie kwenye usaili second selection. .
Sasa mbona unaongea sana wataka nipigwe mawe wakisikiammmh! mwenzangu, mke wa mtu mie, wataka unipeleke uchochoroni kufanya nini?
Kwa mujibu wa CV yake huyo kwako vigezo hajatimiza,kwanza kuanzia herufi tuBasi naomba uingie kwenye usaili second selection. .
usiogopeeeeeeeeeSasa mbona unaongea sana wataka nipigwe mawe wakisikia
Aisee kumbe umembika hivi unajua ilikuwa nakuona kwa mbali tuusiogopeeeeeeeee
Si unajua hawa wanaonaga aibu mbele ya watu wengi ndo maana nimemwambia asogee pembeni ili awe huruHahaa...mpaka asogee gizani..!? Usionee soo sema naye
Naona Vigezo haujatimiza anataka wenye herufi A
Njoo nikuambie...
Haya nambie
Lete CV yako nihakiki maana kitengo hicho nimepewa mimiNina herufi A jamani acha kunipeperushia ndege
Ni hivii..nahitaji kuwa na ww katika maisha haya na pia nitamuomba Mola hata maisha ya baadae niendelee kuwa na wewe peke yako. Na kutokana na namna ambavyo najisikia kwako basi nataka kutangaza ndoa moja kwa moja. Will you be mine please Honey Faith? I need you.
Lete CV yako nihakiki maana kitengo hicho nimepewa mimi
Fanya hima maana nafasi ni chacheNgoja niiandae kesho nitaileta hapa
ahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaAisee kumbe umembika hivi unajua ilikuwa nakuona kwa mbali tu
Mbona unacheka tena?,unajua umenivutia sana kwa urembo ulio nao na moyo wanu unawiwa kuwa na wewe niko tayari kutangaza ndoa hata saizi endapo utaniruhusu niwe wakoahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa