TANZIA Taarifa za kusikitisha msiba wa producer Geof Master, alitayarisha wimbo wa 'Zimbabwe' wa Roma Mkatoliki

Habari wanaburudani, nimepokea taarifa za kusikitisha za msiba wa Producer Geof Master muda huu. Naambiwa alikua kalazwa Ocean road. Mara ya mwisho kuonana nae mitaa ya Tegeta alikuwa na uvimbe puani na alikuwa kwenye harakati za kufanyiwa upasuaji.

Naambiwa leo asubuhi amefariki. Mama yake anaishi Tegeta, naamini msiba wake pia utakuwa Tegeta. Kwa mlio mjini na mkaweza kufika msibani, tunaomba muendelee kutupa taarifa zaidi. Pumzika Pema Peponi Geof Master aka Manuva.

=======

Geof Master alisimamia wimbo maarufu wa 'Zimbabwe' wa Roma Mkatoliki pia alishirikishwa kwenye wimbo wa 'Ivan' na Roma Mkatoliki.

Geof Master ameacha watoto saba kutoka kwa mama wanne.

Ni mtihani sana
 
May he rest in peace mwamba

Kaacha yatima saba
 
Muhuni huyo. Wewe umemuamini kweli ?
Lazima niaminike mana ilitamba sana na nimepiga sana pesa ile ngoma bahati mbaya siku toa vidio ningemwambia aend utubu na hata audio huwez ikuta platform yoyote mana sikuwa na menejiment ila inabamba sana wakati wa uchaguzi we ngoja 2025 utaisikia inavyotamba niliua sana mule hasa pale "acha waisome namba eeh "
 
R. I. P Geof master, the late Ngwair alimkubali sana huyu mpishi kwenye ngoma zake nyingi....

Hata wimbo wa MWISHO wa Marehemu Ngwair ft TID-NO BEEF aliupika geof master
Kweli kabisa man, kuna ngoma kadhaa za Ngwair alimtaja, basi jamaa wa kitambo kwenye utayarishaji wa music, sema alijulikana na wachache.
 
Komba alishadead
[ukianza kubishana na mr pipa umefanya kosa la kimkakati} mkuu naona umekalili badala yakufikiri nimesema inaitwa ccm mbele kwa mbele wewe umesema komba kafa kwan ww huwez imba afu kiitikio kikawa ccm mbele kwa mbele mbona "corona" imeibwa na wasanii zaid ya 30+ vp maana zilikuwa sawa??
 
Mi hata sijabishana
 
Rest in peace...
Ngoma ya Zimbabwe ni kati ya Ngoma nazozipenda na kusikiliza Sana..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom