TAARIFA YA NDOA kwa wana Chit-chat wote

Hii ndoa ina mapungufu mengi sana hata kabla ya kupitishwa!
Kwanza ilitakiwa kuwe na consent kutoka pande mbili lakini namuona peke yake!

Kuna uwezekano ana lazimisha ndoa! Kinyume na hapo tutahitaji sahahi ya partner wake na mashahidi wawili!


 
Last edited by a moderator:
Bado anaumwa ila leo sahizi ana nafuu sana, labda kwavile ameianza siku mpya lol. Hivi sa6 si tumeanza siku mpya eeh.

Hivi kweli kabisa hunitaki mwenzio.....mbona mwaka mrefu sana huu kwangu..
 
Bado anaumwa ila leo sahizi ana nafuu sana, labda kwavile ameianza siku mpya lol. Hivi sa6 si tumeanza siku mpya eeh.

Eeeeh tumeianza tayari....!
Ila sijui trh ngapi lol
Mpe get well soon yangu eeeh
 
Eeeeh tumeianza tayari....!
Ila sijui trh ngapi lol
Mpe get well soon yangu eeeh
Hehehe, hizi tarehe wala hazifai kukumbukwa lol.

Amesema ahsante sana. Ameipokea kwa mikono miwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…