Namsubiri Evelyn Salt aje hapa....haiwezekani nasema.
Namsubiri Evelyn Salt aje hapa....haiwezekani nasema.
ohooo! Usituharibie pozi shemeji shemeji. Wenzio tushanunuliwa sare beauty point. Bado viatu tu! Imekula kwako, forever unyamaze!
tahadhari hapo nje kuna ma baunsa wa kutosha.
Mabaunsa waongeze kabisaaa maana ntawasha moto hapa...
punguza jazba Vin Diesel,embu mtafute king'ast akupe kinywaji baridi ushushe presha.
makubaliano gani tena jamani? Chezeiya nguo za spesho. Pole weeh! Mie nmejaa tele hapa kama pishi la ubwabwa.na wewe kwanini umenikimbia wakati tulikuwa na makubalino mazuri kabisa....ulipotelea wapi.
Halafu sare kitu gani bana wakati watu wameshaacha shona humu ndani?.
Heri ya mwaka mpya mke mwenza... Afu upunguzege umbea.makubaliano gani tena jamani? Chezeiya nguo za spesho. Pole weeh! Mie nmejaa tele hapa kama pishi la ubwabwa.
wewe nae huwezi nunuliwa kitu ukakaa kimya mpaka utangaze.vp wadogo zako wapo wapi?
aaah, kwani si tulibadili mpango tukasema na barbecue? Nimesubiri hapa nimedoda nikaamua nichemshe kuku tu. Umekuwa mswahili aisee.
Heri ya mwaka mpya mke mwenza... Afu upunguzege umbea.
Heri ya mwaka mpya mke mwenza... Afu upunguzege umbea.
Sasa kwanini hujanistua nije kula hicho kyuku....