Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Mwnakijiji
Mbona jazba zimekuwa nyingi? Uchunguzi lazima uwe na mwanzo kama wameanza na mmoja si tatizo labda kwa ushauri mwanakijiji ulitaka waanze na wangapi? Ila tu kumbuka uchunguzi hautaishia kwa aliyeua utakapo kwenda mbali usije kesho ukaugeuka na kudai ni mbinu za serikali makini ya CCM kuua upinzani!
Chama
Gongo la mboto DSM
Akili za maccm zimekaa kimakengeza wala hupati shida kuwatambua.
Sijui !!!!
Hivi kamati inaweza kuendelea na kazi wakati suala liko mahakamani? Hata Bunge huwa linazuiliwa. Hapa vipi?Uchunguzi wa kamati hauna maana tena kwasababu kesi imeshafikishwa mahakamani. Kwahiyo kulizungumzia swala hilo kwa namna yoyote ikiwa ni pamoja na kamati kutoa majibu yake na kuyatangaza hadharan kabla ya hukumu ya mahakama kutolewa itakuwa ni kuingilia uhuru wa mahakama.
Serikali ni kama imeshalizika jambo hilo tayari. Inaniuma sana!
Something is seriously wrong with the Minister...definately..
Jamani nimejitahidi kusoma nielewe hii taarifa sipati picha anaongelea nini, huyu aliyeandikaa ni waziri mwenyewe, si ana PHD huyu?!
Hawa wapuuzi kwa kweli; wanataka tuamini kuwa tatizo la mauaji ya Mwangosi lilihusu askari mmoja tu.