My first Notification too!Asante kwa taharifa,binafsi ndo naziskia now,R.I.P Daddy,anywei pale pale sijui ndo wapi,kwa mm ambae sipafaham maelezo japo madogo plz
Asante kwa taharifa,binafsi ndo naziskia now,R.I.P Daddy,anywei pale pale sijui ndo wapi,kwa mm ambae sipafaham maelezo japo madogo plz
kwakweli mkuu piijey kwa kipindi hicho mimi nilikuwa likizo,na nyumba ninayoishi imeathiriwa na DOWANS ndo maana sikuwa na access ya kurusha tangazo,mawazo yangu yote kwamba watu wanajua.My first Notification too!
Mlitangazia wapi ewe Teamo?
Anyway, not too late!
Dada JS pole sana mpendwa!
MUNGU NDIYE ATAKAYEKUFARIJI VYEMA ZAIDI!
RIP MZEE-AMEN!
Nashangaa hata Acid hajasemea lolote jambo hili...!..Kumbe siko peke yangu,
Pole sana JS
RIP mzee wetu mpendwa.
naiona point yako mkuu....!Mkuu Teamo,
Inavyoonekana watu wengi hapa hatukuwa na tahaarifa hizo za msiba,n huyu akiwa kama mwenzetu na ndugu yetu wa karibu naamini anasoma haya maelezo hapa,je inawezekana tujipange ili walau na ss tujumuike ktk kumfariji mwenzetu kwa ppamoja?Kama ndio basi tupange siku maalum ili tuweze kufanya kama mila na tamaduni zetu,ni mtazamo tu lkn.
Regards
Pearl
Nashangaa hata Acid hajasemea lolote jambo hili...!..