Sana kaka ni majonzi kwa wengi,Mimi nimejitolea kutoa hii taarifa kwa sababu kipindi Fulani tukiwa kwenye story za hapa na pale ndo nikamwambia kama nipo JF akanambia na yeye yupo na akanionesha hii ID yake,akanambia amepiga sana hela JF kipindi inaanzishwa hasa kwenye haya mambo ya technology,kuflash simu n.kMsiba umegusa wengi kuanzia Dodoma Arusha manyara singida tabora shinyanga dah si kuwahi kujua km anaweza kuwa ni member humu ndani
Pole kwa familia# Mungu awape faraja familiaKwa masikitiko makubwa nawataarifu kuhusu kifo Cha member mkongwe mwenzetu anayetumia ID ya Slave
Katika uhalisia huyu alikuwa fundi simu wilaya ya kahama na alikuwa anafahamika kwa jina maarufu la Dokta Zedi
Pia alikuwa mwenyekiti wa watu wenye uziwi hapo hapo wilaya ya kahama
Alazwe mahala pema peponi
Poleni wakuu,nawaza siku nikifa mimi mtajuaje?
sawa mkuu ndege JOHNHahaha kufa kimya kimya
Ukiona unakaribia kufa unajiweka wazi kwa member mmojawapo ili afikishe ujumbe. Mtumie sana Mshana Jr hutajutaRIP kwake aiseee ila Kwa sisi wenye ID za makandokando full kukwepana na wakina tilatila na mwashambwa pale lumumba sijui tukifa nani atatoa taarifa humu ili Id zetu ziwekewe badge ya RIP daaaah
Daaah!! May his soul rest in peace ποΈKwa masikitiko makubwa nawataarifu kuhusu kifo Cha member mkongwe mwenzetu anayetumia ID ya Slave
Katika uhalisia huyu alikuwa fundi simu wilaya ya kahama na alikuwa anafahamika kwa jina maarufu la Dokta Zedi
Pia alikuwa mwenyekiti wa watu wenye uziwi hapo hapo wilaya ya kahama
Alazwe mahala pema peponi
ππππ safi kumbe nina watu
Maisha ni mafupi,hatujui saa Wala dakika,,Duh
Last seen tar 1/08/2026πjuzi tuπ₯²
Tupendane jmn
Maisha ndo hayahaya
Si ndiyoππ