Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,997
Tutawaletea taarifa ya habari toka TBC saa sita kamili EST sawa na saa mbili za usiku.
Tutawaletea taarifa ya habari toka TBC saa sita kamili EST sawa na saa mbili za usiku.
Heshma mbele mkuu Mzee Mwanakijiji,
nitasikiliza habari hizo, naomba nikuulize swali hili "HOJA BORA HUSHINDA, BORA HOJA HUSHINDWA
DO NOT CLICK HERE!" nikileta ubishi na ku-click hapo itakuwaje??