Taarifa ya Habari Saa Sita EST (-5 GMT)

Nemesis

JF-Expert Member
Feb 13, 2008
5,191
2,000
Tutawaletea taarifa ya habari toka TBC saa sita kamili EST sawa na saa mbili za usiku.

Heshma mbele mkuu Mzee Mwanakijiji,
nitasikiliza habari hizo, naomba nikuulize swali hili "HOJA BORA HUSHINDA, BORA HOJA HUSHINDWA
DO NOT CLICK HERE!" nikileta ubishi na ku-click hapo itakuwaje??
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,327
2,000
Heshma mbele mkuu Mzee Mwanakijiji,
nitasikiliza habari hizo, naomba nikuulize swali hili "HOJA BORA HUSHINDA, BORA HOJA HUSHINDWA
DO NOT CLICK HERE!" nikileta ubishi na ku-click hapo itakuwaje??

samahani kwa waliowahi naona mitambo imekuwa kama inatumia kuni! Well nitakuwa mwenyewe hewani baada ya dakika chache..

Ila hapo pa kuclick.. I don't think you wanna do that..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom