kamanda wa kamanda
Senior Member
- Oct 12, 2013
- 191
- 75
Alie ama chadema na kujiunga ccm jana ndugu Braison Mwasimba Si katibu wa wilaya Katibu wa Chadema Wilaya anaitwa Protas Mgimbila. Braison mwasimba alivuliwa ukatibu wa chadema tangu mwezi wa tano kwa kosa la kupingikiza pikipiki ya Chama kwa sh. Laki mbili alipo vuliwa ukatibu alibaki kua mwanachama wa kawaida hadi alipo hama jana