Taarifa ya CHADEMA Chunya, Mbeya: Aliyepokelewa na Kinana hakuwa Katibu wetu

Naona makapi yanapenya kwenye chekeche yenyewe bila kuchekechwa. Yalivyoona wengine wananyolewa wao wanatia maji.
 
Unapo tangaza kua mmemchukua katibu wa wilaya na awe katibu wa wilaya kweli yani ni kama saizi ccm ikimchukua Mwigamba huu ndio mfano wa yule waliomchukua wamemchukua mtu ambae alisha vuliwa cheo cha ukatibu alafu wanatangaza kua tume mchukua katibu wa wilaya. Katibu wa wilaya ya chunya chadema anaitwa Protas Mgimbila na si Braison mwasimba
 
Asante kwa taarifa mkuu ila mbona huyo protasi mgimbira unaedai ndie katibu mpya ni kama dalali wa chama chenu hicho cdm mmesindwa kupata viongozi wazuri mpaka mmewakabidhi hao vilaza chama kikubwa kama chadema?

Maston mbona hata wewe kazi yako kubwa inayo kuweka hapa mjini ni udalali na ulikua unataka uongozi kule chunya what about you?
 
Kinani sawa lakini hofu yangu ni magazeti kujitoa ufahamu.ivi watu wa chunya wanaojua ukweli utawadanganya
 
kupingikiza ni kufanyaje

neno hilo limetoholewa kutoka vilugha vitatu vya kule mbeya; kisafWa, kimalila AU kinyiha. Neno asilia ni Kupinjiha, au kupinjishila. Maana ya hilo neno ni kuweka rehani. Wanyakyusa wangesema 'kukolela'. lakini kuna muingiliano sana wa maneno kule makabila mengine watakuwa wanajua maana yake.

Kwa hiyo huyo aliyejiunga na CCM alivuliwa madaraka mwezi wa Tano kwa kosa la kuweka rehani pikipiki ya CHAMA kwa laki mbili. i HOPE THAT HELPS YOU....
 
Naona makapi yanapenya kwenye chekeche yenyewe bila kuchekechwa. Yalivyoona wengine wananyolewa wao wanatia maji.

Vifaranga vinamtangulia mama Yao!
Hivi ni vifaranga vya bata maana kuku huwa hafanyi hivi!
CHADEMA ni kama ule mti ulioko UDSM...
Mti ule huitwa M-DEGREE...
Tabia yake ni kupukutisha majani na kuchipusha mapya na ya kuvutia!
CHADEMA ni mdegree
Yaache majani yapukutike maana huu ndo muda wake
 
Asante kwa taarifa mkuu ila mbona huyo protasi mgimbira unaedai ndie katibu mpya ni kama dalali wa chama chenu hicho cdm mmesindwa kupata viongozi wazuri mpaka mmewakabidhi hao vilaza chama kikubwa kama chadema?

Hata Kawawa alikuwa Waziri mkuu!
Unakumbuka elimu yake dhidi ya weredi wake!
Mlinganishe na Daudi Balali
 
Mkuu, kamanda wa kamanda..
Taarifa yako nzuri, lakini umeandika vibaya. Tumia lugha iliyonyooka, pasipo kumlazimu msomaji aumize kichwa kujua "hapa anamaanisha"..
Uandishi bora JF pia yapasa kuwa na utofauti kati ya cdm na ccm..

All in all, thanks for clarification!
 
ccm wanaona sifa sana kusema wamevuna kutoka chadema. kumbe wanachukua wale ambao chadema imewatupa kwenye dustbin
 
Kama kawaida kula ccm kura CDM magamba watatapatapa sana mwaka huu
 
CDM BIG UP kwa kutoa uchafu mapema kabla haujatuchafua wakati wa kula(uchaguzi),CCM hongereni mmekuwa kama choo kazi yake ni kupokea uchafu(mavi/dung) na kuuhifadhi!CDM is the time to defacate unwanted materials,CCM eat and keep them!
 
Nguvu ya hoja itabaki palepale, wakitemwa na chama imara wanakipondea ila chadema ipo juu na 2015 kitaeleweka
 
Back
Top Bottom