Taarifa ya CHADEMA Chunya, Mbeya: Aliyepokelewa na Kinana hakuwa Katibu wetu

kamanda wa kamanda

Senior Member
Oct 12, 2013
191
75
Alie ama chadema na kujiunga ccm jana ndugu Braison Mwasimba Si katibu wa wilaya Katibu wa Chadema Wilaya anaitwa Protas Mgimbila. Braison mwasimba alivuliwa ukatibu wa chadema tangu mwezi wa tano kwa kosa la kupingikiza pikipiki ya Chama kwa sh. Laki mbili alipo vuliwa ukatibu alibaki kua mwanachama wa kawaida hadi alipo hama jana
 
Asante kwa taarifa mkuu ila mbona huyo protasi mgimbira unaedai ndie katibu mpya ni kama dalali wa chama chenu hicho cdm mmesindwa kupata viongozi wazuri mpaka mmewakabidhi hao vilaza chama kikubwa kama chadema?
 
Ha ha ha ha
 
Magamba yanatapatapa sana,hadi kufikia 2015 tutaona sarakasi nyingi
 
Alie ama chadema na kujiunga ccm jana ndugu Braison Mwasimba Si katibu wa wilaya Katibu wa Chadema Wilaya anaitwa Protas Mgimbila. Braison mwasimba alivuliwa ukatibu wa chadema tangu mwezi wa tano kwa kosa la kupingikiza pikipiki ya Chama kwa sh. Laki mbili alipo vuliwa ukatibu alibaki kua mwanachama wa kawaida hadi alipo hama jana
hiyo janjajanja yenu haiwasaidii....chama ni wanachama na wanachama ndio hivyo wanaelekea magambani
 
Alie ama chadema na kujiunga ccm jana ndugu Braison Mwasimba Si katibu wa wilaya Katibu wa Chadema Wilaya anaitwa Protas Mgimbila. Braison mwasimba alivuliwa ukatibu wa chadema tangu mwezi wa tano kwa kosa la kupingikiza pikipiki ya Chama kwa sh. Laki mbili alipo vuliwa ukatibu alibaki kua mwanachama wa kawaida hadi alipo hama jana

ha ha ha kweli nape na mzee wa deshi wanahaha wataingiza huko hata wagonjwa wa hakili cdm iko imara wacha watapetape na hii ndo ilikuwa silaha yao ya mwisho kule jeshini wanaita silaha ya msaada ikishamaliza risasi zake hii basi nikuwasukuma kama mlevi.
 
Alie ama chadema na kujiunga ccm jana ndugu Braison Mwasimba Si katibu wa wilaya Katibu wa Chadema Wilaya anaitwa Protas Mgimbila. Braison mwasimba alivuliwa ukatibu wa chadema tangu mwezi wa tano kwa kosa la kupingikiza pikipiki ya Chama kwa sh. Laki mbili alipo vuliwa ukatibu alibaki kua mwanachama wa kawaida hadi alipo hama jana

jaman chadema mbona mnakanusha ukweli kiasi hicho kila kiongozi wenu akihama mnasema alishafukuzwa heee
kwaiyo huko chadema ni kufukuzana tuu
acha kudanganya mimi nilikuepo huyo aliyehama hakufukuzwa ila mmeamua kupotosha ukweli
kwa sasa chadema ndo basi tena hata taarifa pia kutoka morogoro zinasema mwenyekiti wa chadema chuo kikuu cha jordani kajiunga na ccm
chadema walaghai
kidum ccm
 
nakubali mkuu huyu jamaa alijipa maujiko ili dau lipande na CCM wakaingia mkenge.
 
jaman chadema mbona mnakanusha ukweli kiasi hicho kila kiongozi wenu akihama mnasema alishafukuzwa heee
kwaiyo huko chadema ni kufukuzana tuu
acha kudanganya mimi nilikuepo huyo aliyehama hakufukuzwa ila mmeamua kupotosha ukweli
kwa sasa chadema ndo basi tena hata taarifa pia kutoka morogoro zinasema mwenyekiti wa chadema chuo kikuu cha jordani kajiunga na ccm
chadema walaghai
kidum ccm

Mtaweweseka sana mwaka huu.mamluki wote tutawasafisha.
 
Alie ama chadema na kujiunga ccm jana ndugu Braison Mwasimba Si katibu wa wilaya Katibu wa Chadema Wilaya anaitwa Protas Mgimbila. Braison mwasimba alivuliwa ukatibu wa chadema tangu mwezi wa tano kwa kosa la kupingikiza pikipiki ya Chama kwa sh. Laki mbili alipo vuliwa ukatibu alibaki kua mwanachama wa kawaida hadi alipo hama jana

Mkuki mtamu kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, zamu yenu chadema , wakti CCM ilipokuwa ikitolokwa na wanachama na viongozi wake wakiamia Chadema, CCM ilikuwa ikisema si wanachama au walishafukuzwa1 Naona na chadema wameiga stahili hiyo! CDM mmelikoroga wenyewe,lazima mlinywe, uwezo wa kwenda magogoni 2015 sahau na we Mbowe lile shangingi la kiongozi wa kambi ya upinzani kwisha habari yake 2015
 
wasipoondoka wenyewe tutawaondoa...vishetani lazima vingoke ndani ua chama...
 
Back
Top Bottom