Taarifa ya CCM kwa vyombo vya habari

Taarifa ya CCM kwa vyombo vya habari

Majizi makubwa; Viwanja sio mali yenu; ni ufisadi mnafanya, vilijengwa na wananchi kwa michango mbalimbali na wengi wao hawakuwa wanachama wa CCM; ole wenu iko siku tutavichukua kama KANU; chama kilichofutioka kule Kenya; ilivyonyan'ganywa Jengo la Kituo cha mikutano cha kimataifa cha Kenyatta pale Nairobi.

Nape huna hata aibu; kweli waliozoea vya kunyonga vya kuchinja hamuviwezi; shame on you Napi
 
mali zote mnazomiliki ni za watanzania tulichuma wote pamoja hamna mali yenu binafsi, nchi tuliijenga wote baada ya kutofautiana itikadi ndio mnadai mali zenu, wanachama wa vyama vya upinzani mmewafanya wakimbizi, walafi wakubwa na hamtosheki ndio maana hata wadhili wamewapa ban. Labda mtuambie ni mali za chama kilichopo madarakani siku mking'oka mwingine nae anatawala hizo mali ni mali za kupokezana lakini hamna chenu wenu ni upuuzi tu.
 
Ni zipi hizo zinazomhusu Lowasa? Acha majung ndugu. Usihadaike na akina Ocampo four

Magamba shida mnajifanya mko pamoja ila likija suala mgombea urais mshatengana nadhani Lizaboni ukisikia jina Lowasa unachafukwa na tumbo
 
Naam hiki ndio chama bana, kina hazina ya viongozi na taratibu zinazoeleweka sio kama hizo saccos

Endeleni namatamko Wenzenu wamejitambua nawanaenda Vua Gamba poleni sana Intarahamwe
 

Attachments

  • IMG-20141017-WA0027.jpg
    IMG-20141017-WA0027.jpg
    79.7 KB · Views: 125
ccm bila ruzuku hakuna.....kujitegemea ni ndoto za mchana hata kwa dawa....ruzuku yenyewe mzee wa tembo anaipigia hisabati kaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Sera hiyo inalenga kuwa muongozo wa kuifanya CCM ianze kuzitumia rasilimali zake kuzalisha ili iweze kujitegemea kiuchumi. Kama inavyofahamika CCM ina rasilimali nyingi wakiwemo wanachama wake, viwanja na majengo ambavyo kwa pamoja vkitumika vizuri vitasaidia kukifanya chama kuondokana na utegemezi wa ruzuku na badala yake kujitegemea.

kwani kabla mlikuwa mnafanyaje?

ii ni kauli ya kujiandaa kuwa wapinzani, kwani dalili zote ziko wazi
 
Taarifa za chadema ni kuhusu kufukuzana, kunyang'anyana kadi na usaliti
 
Sera hiyo inalenga kuwa muongozo wa kuifanya CCM ianze kuzitumia rasilimali zake kuzalisha ili iweze kujitegemea kiuchumi. Kama inavyofahamika CCM ina rasilimali nyingi wakiwemo wanachama wake, viwanja na majengo ambavyo kwa pamoja vkitumika vizuri vitasaidia kukifanya chama kuondokana na utegemezi wa ruzuku na badala yake kujitegemea.

kwani kabla mlikuwa mnafanyaje?

Walikuwa wanakwiba pesa za serikali, EPA,IPTL,TANGLOD,MEREMETA na ESCROW na makashifa yote uyajuayo hapa Nchini. Chanzo kikuu ni kukipatia pesa chama ili kuiba kura kila chaguzi zinapofika.

Sasa wamegundua kuwa kuanzia mwaka kesho, hawataongoza serikali ndiomaana wameona wajifunze kuishi nje ya wizi.

BACK TANGANYIKA
 
poa mkuu lakini majibu utayapata kuanzia Serikali za mita ambazo mwaka 2009 mlijinadi kuwa mmepata zaidi ya 98%. Angali usije kufa kwa BP au Kisukari.
 
Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana Oktoba 16, 2014 katika siku ya kwanza ya kikao chake cha siku mbili kinachoendelea mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete imejadili na kupitisha Sera ya CCM ya kujitegemea kimapato na kiuchumi.

Hiyo sera kama wangeifanya kuwa ya nchi ningewaelewa ..................... nchi ombaomba wakati chama kinajitegemea!!!
 
halmashauri kuu ya taifa ya chama cha mapinduzi (ccm) jana oktoba 16, 2014 katika siku ya kwanza ya kikao chake cha siku mbili kinachoendelea mjini dodoma chini ya mwenyekiti wa ccm rais jakaya mrisho kikwete imejadili na kupitisha sera ya ccm ya kujitegemea kimapato na kiuchumi.


sera hiyo inalenga kuwa muongozo wa kuifanya ccm ianze kuzitumia rasilimali zake kuzalisha ili iweze kujitegemea kiuchumi. Kama inavyofahamika ccm ina rasilimali nyingi wakiwemo wanachama wake, viwanja na majengo ambavyo kwa pamoja vkitumika vizuri vitasaidia kukifanya chama kuondokana na utegemezi wa ruzuku na badala yake kujitegemea.


aidha halmashauri kuu ya taifa ya ccm imefanya uteuzi wa wagombea kwa nafasi za uenyekiti wa ccm katika wilaya mbili pamoja na wagombea ujumbe wa nec katika wilaya tatu zilizokuwa na nafasi wazi.


walioteuliwa kugombea uenyekiti wa wilaya ni;-


wilaya ya njombe:-ndugu edward pius mgaya ndugu vallence mtenzi kabelege ndugu betram simon ng’imbudzi


wilaya ya misenyi:-ndugu sosthenes rweyemamu kabandwa ndugu said ibrahim seruh ndugu erica kiiza stephen


walioteuliwa kugombea ujumbe wa halmashauri kuu ya ccm taifa ni:-


wilaya ya tandahimba:-ndugu lutavi abdula suleman ndugu malela mohamed chibwana ndugu nanyundu ally salum


wilaya ya mkuranga:-ndugu ally mohamed msikamo ndugu maulid hamis zowange ndugu wakati nassoro mtulia ndugu zawadi ally kilapo


wilaya ya njombe:-ndugu christian marcus fwalo ndugu george benedict mng’ong’o ndugu oscar michael msigwa ndugu justin nusulupia


imetolewa na:-


nape moses nnauye, katibu wa halmashauri kuu ya taifa, itikadi na uenezi 17/10/2014
...huu ndio mwaka wenu wa 50 na wa mwisho kwa matumizi ya jasho la wananchi wa tanganyika. Jipangeni kutafuta pa kuweka makalio yenu. Hivyo mnavovidai ni mali yenu sijui mlivichumaje lkn mtambue sasa ndio vinarudi kwa wananchi wenyewe. Maandalizi tayari tunasubiri muda tu ukifika tuwafurushe porini na wengine wamejiandaa watakimbilia mstuni yote ni heri kwenu.
 
Mwigulu najua unapita humu jf hebu tupe mpangomkakati wa utekelezaji wa sera ya ccm kujitegemea. Hilo ni jambo jema na najua umehusika sana maani msimamo na mikakati yako hazina kuhusiana na sera. Hii itapelekea rasilimali watu iwe kichocheo cha maendeleo ya chama na taifa badala ya wanachama kukitumia chama kwa maslahi binafsi! ni maoni tu.
 
Back
Top Bottom