Taarifa ya CCM kwa vyombo vya habari

Taarifa ya CCM kwa vyombo vya habari

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
33,901
Reaction score
20,416
Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana Oktoba 16, 2014 katika siku ya kwanza ya kikao chake cha siku mbili kinachoendelea mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete imejadili na kupitisha Sera ya CCM ya kujitegemea kimapato na kiuchumi.

Sera hiyo inalenga kuwa muongozo wa kuifanya CCM ianze kuzitumia rasilimali zake kuzalisha ili iweze kujitegemea kiuchumi. Kama inavyofahamika CCM ina rasilimali nyingi wakiwemo wanachama wake, viwanja na majengo ambavyo kwa pamoja vkitumika vizuri vitasaidia kukifanya chama kuondokana na utegemezi wa ruzuku na badala yake kujitegemea.

Aidha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM imefanya uteuzi wa wagombea kwa nafasi za Uenyekiti wa CCM katika wilaya mbili pamoja na wagombea Ujumbe wa NEC katika wilaya tatu zilizokuwa na nafasi wazi.

WALIOTEULIWA KUGOMBEA UENYEKITI WA WILAYA NI;-

Wilaya ya Njombe:-Ndugu Edward Pius Mgaya Ndugu Vallence Mtenzi Kabelege Ndugu Betram Simon Ng’imbudzi

Wilaya ya Misenyi:-Ndugu Sosthenes Rweyemamu Kabandwa Ndugu Said Ibrahim Seruh Ndugu Erica Kiiza Stephen

WALIOTEULIWA KUGOMBEA UJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA NI:-

Wilaya ya Tandahimba:-Ndugu Lutavi Abdula Suleman Ndugu Malela Mohamed Chibwana Ndugu Nanyundu Ally Salum

Wilaya ya Mkuranga:-Ndugu Ally Mohamed Msikamo Ndugu Maulid Hamis Zowange Ndugu Wakati Nassoro Mtulia Ndugu Zawadi Ally Kilapo

Wilaya ya Njombe:-Ndugu Christian Marcus Fwalo Ndugu George Benedict Mng’ong’o Ndugu Oscar Michael Msigwa Ndugu Justin Nusulupia

Imetolewa na:-

Nape Moses Nnauye, KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA, ITIKADI NA UENEZI 17/10/2014
 
Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana Oktoba 16, 2014 katika siku ya kwanza ya kikao chake cha siku mbili kinachoendelea mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete imejadili na kupitisha Sera ya CCM ya kujitegemea kimapato na kiuchumi.

Sera hiyo inalenga kuwa muongozo wa kuifanya CCM ianze kuzitumia rasilimali zake kuzalisha ili iweze kujitegemea kiuchumi. Kama inavyofahamika CCM ina rasilimali nyingi wakiwemo wanachama wake, viwanja na majengo ambavyo kwa pamoja vkitumika vizuri vitasaidia kukifanya chama kuondokana na utegemezi wa ruzuku na badala yake kujitegemea.

Aidha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM imefanya uteuzi wa wagombea kwa nafasi za Uenyekiti wa CCM katika wilaya mbili pamoja na wagombea Ujumbe wa NEC katika wilaya tatu zilizokuwa na nafasi wazi.

WALIOTEULIWA KUGOMBEA UENYEKITI WA WILAYA NI;-

Wilaya ya Njombe:-Ndugu Edward Pius Mgaya Ndugu Vallence Mtenzi Kabelege Ndugu Betram Simon Ng'imbudzi

Wilaya ya Misenyi:-Ndugu Sosthenes Rweyemamu Kabandwa Ndugu Said Ibrahim Seruh Ndugu Erica Kiiza Stephen

WALIOTEULIWA KUGOMBEA UJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA NI:-

Wilaya ya Tandahimba:-Ndugu Lutavi Abdula Suleman Ndugu Malela Mohamed Chibwana Ndugu Nanyundu Ally Salum

Wilaya ya Mkuranga:-Ndugu Ally Mohamed Msikamo Ndugu Maulid Hamis Zowange Ndugu Wakati Nassoro Mtulia Ndugu Zawadi Ally Kilapo

Wilaya ya Njombe:-Ndugu Christian Marcus Fwalo Ndugu George Benedict Mng'ong'o Ndugu Oscar Michael Msigwa Ndugu Justin Nusulupia

Imetolewa na:-

Nape Moses Nnauye, KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA, ITIKADI NA UENEZI 17/10/2014

hakuna jipya
 
Naam hiki ndio chama bana, kina hazina ya viongozi na taratibu zinazoeleweka sio kama hizo saccos

chadema ni chama cha watoto wa maskini nyie matajiri bakini na chama chenu kisichotetea wanyionge kinachotetea matajiri na mafisadi
 
Ni lini CHADEMA wanatetea wanyonge?
 
Ila jipya ni uzushi wa Dr Slaa?

Rasilimali zake yaani viwanja na majengo walipipataje kama si dhuruma ya mali za wananchi wote wa Tanzania?

(Sera hiyo inalenga kuwa muongozo wa kuifanya CCM ianze kuzitumia rasilimali zake kuzalisha ili iweze kujitegemea kiuchumi. Kama inavyofahamika CCM ina rasilimali nyingi wakiwemo wanachama wake, viwanja na majengo ambavyo kwa pamoja vikitumika vizuri vitasaidia kukifanya chama kuondokana na utegemezi wa ruzuku na badala yake kujitegemea.)
 
Ni zipi hizo zinazomhusu Lowasa? Acha majung ndugu. Usihadaike na akina Ocampo four

Hizi!!

Kikao Cha Jana Cha NEC{halmashauri Kuu Ya CCM -Taifa} Pamoja Na Mambo Mengine Kilitoa Pongezi Maalum Kwa Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Ngoyai Lowassa Kwa Kubuni Na Kusimamia Ujenzi Wa Jengo kubwa La Kitega Uchumi kwa ajili ya Umoja Wa Vijana{UVCCM}
paperclip.png
Attached Thumbnails
 
Majengo na mali ambazo zilikuwepo kabla ya mfumo wa vyama vingi ni lazima yataifishwe hayo hayakujengwa kwa hela za chama ,hela iliyotumika ilikuwa hela toka serikalini.
 
Sera hiyo inalenga kuwa muongozo wa kuifanya CCM ianze kuzitumia rasilimali zake kuzalisha ili iweze kujitegemea kiuchumi. Kama inavyofahamika CCM ina rasilimali nyingi wakiwemo wanachama wake, viwanja na majengo ambavyo kwa pamoja vkitumika vizuri vitasaidia kukifanya chama kuondokana na utegemezi wa ruzuku na badala yake kujitegemea.

kwani kabla mlikuwa mnafanyaje?
 
Inahitaji akili ya ziada kuwaelewa CCM, Chama Cha Makafiri.... Lizaboni nataka usome hivyo hivyo ilivyo I meant makafiri, mafisadi, na kila aina ya uchafu, bila kusahau Ukigeugeu wenu. Sehemu pekee mnayostahili ni kuzimu,, tena hio kuzimu iwe ya namna ya pekee. Ninaichukia CCM kuliko kitu kingine chochote
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: MTK
Back
Top Bottom