Taarifa ya Bakhresa Group kuhusiana na Upotevu wa Makontena

Kwa matazamo wangu, mtoa mada kawahi mno kutoa taarifa hasa pale tunapotambua kuwa uchunguzi unaendelea kufanyika. Wao kama sehemu ya wahusika katika sakata hili hawana sababu hata kidogo kuja kwa wananchi wanataka kujisafisha. Tusubiri wasafishwe na tume inayoendelea na uchunguzi. Mbivu na mbichi zitakuwa wazi tu muda muafaka ukifika.

Wangekuwa wawazi sana katika utendaji wao katika hiyo bandari kavu wanayo imiliki wao tungetrajai kuwa mara tu walipo gundua wao kuwa kuna upotevu wa makontena wangetoka katika vyombo vya habari kutoa taarifa hiyo. Sasa baada ya serikali kugundua huo uozo na kuanzisha utafiti wao ndo wanaanza kutoka katika media? I doubt over the gennuinity of their defence to the public.
 
Mkuu isaidie serikali kuonyesha huo wizi kuna 3%.

Mkuu ritz mbona unatimia nguvu kubwa sana kufanya hii ishu azam hawahusiki? Kuna nn unachokijua unajitahid ku hide? Au ni mihemko ya udini tu,samahan nimewaza kwa sauti
 
contena zote zinazoshuka melini kupelekwa kuifazia zinakua hazijalipia ushuru

bakhresa aliifazi contena hizo
 
Hivi bakresa group of company wanatoa msaada gani kwa jamii zaidi yakujenga misikiti? Hii kampuni nikubwa sana inatakiwa wajifunze kurudisha kwa jamii sio ombaomba kupanga folen pale mtoro akitoka msikitini agawe bukubuku hii ni nchi masikini kama kuna sekta angeweza kutia msaada ingependeza zaidi
 
Ukiachana na hayo makontena yaliyopotea.yapo mengine zaidi ya mbili ya ukwepaji wa kodi....na hayo nayo mleta uzi unatuambiaje?
 
Sidhani kama kuna job vacancies Barkhresa group of companies!!
Kwa Usemi wako huu... ina maana SS Bakhresaa ana mikono mia nane na macho elfu moja na miguu 2000 ?!!?!? kazi zake supa man gani huzitimiza?
Ozzie usikurupuke uzi huu ni wa SSB.... Huyo ndg.Mpendwa HSC ni samaki mdogo sana, Yupo chini ya mwamvuli wa maswahiba !!

Nisemavo ni kwanini waanze na uchumi wa SSB huyu ni mfanya biashara mkubwa AFRICA.... ambapo wapo wakuanzia ktk viongozi na makada wa chama tawala...... na vigogo waserikali wenye biashara kinyume na sheria za utumishi wa dola.!!!!

 
Last edited by a moderator:
Tulieni sindano iwaingie mbona mnapapalika kujibu??mnahangaika kumjibia nani ??Hakuna asie na akili :angry:
Jamani mnatakiwa kuelewa pale yanahifadhiwa makontena ya wateja wenye mizigo yao kwa hyo sio mali za uwiz kwa hyo walio husika ni hao wateja waliohifadhiwa makontena .....kwa hyo na bandar nao wanahifadh mali za uwiz jaribun kuelewa jaman
 
Wewe unasema "inasemekana" wao wanakwambia hakuna kontena lao.

Nnauhakika hata ICD haujuwi ni nini.

Fox hata usafishe vipi hiyo ni kashfa kubwa na kuna mengine zaidi ambayo hata wewe fox unayajua kwani ni leo tu!!!.Gari zote za azam ni overload lakini mizani inapita tu!!.Kwani huwa kuna landcruser inatangulia mbele wenyewe wanaita line clear!!!. Uchafu ni mwingi sana Fox tulia!!!
 
Fox hata usafishe vipi hiyo ni kashfa kubwa na kuna mengine zaidi ambayo hata wewe fox unayajua kwani ni leo tu!!!.Gari zote za azam ni overload lakini mizani inapita tu!!.Kwani huwa kuna landcruser inatangulia mbele wenyewe wanaita line clear!!!. Uchafu ni mwingi sana Fox tulia!!!

Wewe wacha porojo, it takes two to tango.

Kwanini asishikwe na yeye kazidisha mizani?
 
Mtu Hata Ilimu Dunia Hana. Eti Tajiri! Haiwezekani Something Gotta Be Wrong Somewhere..We Need To Speculate
 
Hivi wewe bado unashabikia mabidhaa ya on the shelf tu.Baada ya miaka miwili sukari,pressure,cancer,
Parkinson's disease,moyo mkubwa etc.Hujastuka tu.Huu ni ushauri wa bure:be natural.
Nilikuwa na mpango wa kususia bidhaa za kampuni hii, lin kila nikiangaliaaa sioni mbadala!
 
Tuache udini hiv suala hili si ni la kiutawala?.... kwa nini ionekane kama anaonewa mpaka anaanza kusaliwa?....ikumbukwe dini zote nchi hii zinanafas sawa......hongera Magufuli kwa kuwa mkristo pekeyako kwenye uongozi hata pale ulipochagua pm.......God bless


Unajua waislam wanasali vipi...?.
 
Mkuu Himawari Hapo kwenye Juice sijui kwanini anashindwa kutengeneza zenye Quality nzuri wakati tuna matunda ya kutosha tu.. Miaka yote tunaonaga matunda yakiozea mashambani na sokoni.. Na mtu anayenunua yale maziwa sijui anakuwa na akili timamu au vipi..

Matunda wapi siasa tu nyingi! Steph Curry
Juice zao wana-dilute concentrates wanazoagiza toka nje!
Juice nzito kama uji sijui wanaweka unga wa ngano!!

Maziwa nayo ni ya unga wanaweka tu maji na kutudanganya ni fresh milk!
Walaji kuweni sana makini na bidhaa za viwandani ubora wake mara nyingi huwa unatia shaka.
Mkitaka kujifunza zaidi nmaweza kunagalia documentary ya FOOD INC!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom