Taarifa ya Bakhresa Group kuhusiana na Upotevu wa Makontena

Kwa Usemi wako huu... ina maana SS Bakhresaa ana mikono mia nane na macho elfu moja na miguu 2000 ?!!?!? kazi zake supa man gani huzitimiza?
Ozzie usikurupuke uzi huu ni wa SSB.... Huyo ndg.Mpendwa HSC ni samaki mdogo sana, Yupo chini ya mwamvuli wa maswahiba !!

Nisemavo ni kwanini waanze na uchumi wa SSB huyu ni mfanya biashara mkubwa AFRICA.... ambapo wapo wakuanzia ktk viongozi na makada wa chama tawala...... na vigogo waserikali wenye biashara kinyume na sheria za utumishi wa dola.!!!!

Mkuu umeni mention kwa quote ipi?
 
natoa ufafanuzi kwako na viazi wenzako kuwa, bakhresa anamiliki bandari kavu. Waliongiza mizigo kwa container wanahifadhi huko kama njia ya kuepusha msongamano katika bandari yetu.

Katika kila bandari kavu kuna maafisa wa tra na mamlaka nyingine za serikali ambazo zinasimamia kuhakikisha kodi ya serikali inalipwa.

Shughuli ya bakhresa ni kuhifadhi container na analipwa na mmiliki wa container kwa siku linazokaa hapo kwenye eneo lake.

Tukio la wajanja waliobamiza kodi limetokea kwenye eneo la bakhresa, ndio maana anasema wahusika wakamatwe na wachukuliwe hatua.

Maana yake ni kwamba, maafisa wa serikali waliohusika na mchezo mchafu katika icd ya bakhresa ndio watakaoshughulikiwa.

Kuna swali?

swali bado lipo.....waulize tra na bakheresa
 
Acha chuki binafsi kampuni imekanusha tusubili selikali itsemaje sio sisi kuhukum
 
Ivi tunapo kuwa tunajadili ishu inayo husu taifa letu mkaleta udini mnakuwa na maana gani msitake kuingiza nchi kwenye mapande mapande maana post nyingi zinazo mjadili bakharesa unaona wazi kuwa zina udini ndani yake sio vizuri tukiwajadili kama wafanya biashara tuwajadili hivyo saio kwa imani zao akiguswa mfanyaboashara mkristo au mwislamu tujadili biashara zao sio imani zao tafadhali
 
Back
Top Bottom