Taarifa ya ajali ya Kamanda Mawazo na namba yake ya simu!

huyo mawazo ni kamanda wa jeshi gani? plz naombeni msaada
 
Tusisahau wenzetu wengine sehemu ya hii Jamhuri ya Tanganyika hawana nyenzo nyingine za usafiri zaidi ya MITUMBWI. Pamoja na hayo wanahitaji kufikiwa ili na wenyewe waweze kutoa dukuduku lao au kusikilizwa kama sehemu ya demokrasia na kwa mujibu wa Katiba yetu (ingawa imepitwa na wakati).
Mitumbwi inatumika na wavuvi na jamaa wa magendo sasa sijui yeye alikua anafanya lipi
 
Mtu kama Majebere (Majebhere....Musoma route) kutoa komenti kama hii inahitaji msuli wa kutaipu huku ukiwa umefunga macho. Angekuwa mtu kama Mwakisotoka au Mwamajebere (Mbeya route) nisingeshangaa. Si watu wote wanaosafiri kutoka Kwikuba to Saragana au Kisorya kwa mtumbwi ni wavuvi au wanafanya magendo...watake radhi hao wananchi pls.
 
Baada ya kusoma humu watu wakihitaji namba ya kamanda Mawazo niliwasiliana naye usiku na akaniruhusu kuiweka namba yake baada ya kumshawishi sana! Hata hivyo kamanda jana alipata ajari ya kuteleza kwenye mtumbwi na ameumia nyonga imevimba.

Namba yake 0756039703

Good move, pole sana kamanda wetu, naamni God will rescue with all bad issues. Naamini kuteleza siyo kuanguka, Nitaifanyia kazi hiyo namba ya simu kesho, TUCHANGIE KIDOGO TULICHONANACHO KWA AJILI YA KAMANDA HUYU AMBAYE ANAFANYA KAZI USIKU NA MCHANA.
 
Ndo nani huyo mawazo?

Mawazo ni kamanda ambaye anasema tayari alishakufa ila anaishi kwa mkopo hivyo kama kuna mtu anataka kumua asipate shida aue tu maana hata hivyo anaishi kwa mkopo tayari!
Kazi yake ni moja u yani kuhakikisha ccm inafutika huko vijijini! Hana shida na watu wa mjini maana tayari wanajua chadema ni nini! Nadhani umenipata na kwa kifupi tu alikuwa ni diwani wa magamba kule Arusha akabwaga manyanga na kuhamia kwa makamanda natoka ahamie hajawahi kuonekana mjini yeye ni pori kwa pori tu! Kila kijiji anachoingia anaacha msiba kwa magamba! Kwa taarifa zaidi waulizie watu wa magu na mleba jinsi alivyowakandamiza magamba kwenye uchaguzi mdogo wa vijiji na vitongoji!
 
Ni kweli mkuu inabidi tumtie moyo huyu ndugu tusiishie na pole tu! Mie nimesha mtumia kidogo na kweli hiyo ni namba yake!
 
Mawazo ni kamanda ambaye anasema tayari alishakufa ila anaishi kwa mkopo hivyo kama kuna mtu anataka kumua asipate shida aue tu maana hata hivyo anaishi kwa mkopo tayari!
Kazi yake ni moja u yani kuhakikisha ccm inafutika huko vijijini! Hana shida na watu wa mjini maana tayari wanajua chadema ni nini! Nadhani umenipata na kwa kifupi tu alikuwa ni diwani wa magamba kule Arusha akabwaga manyanga na kuhamia kwa makamanda natoka ahamie hajawahi kuonekana mjini yeye ni pori kwa pori tu! Kila kijiji anachoingia anaacha msiba kwa magamba! Kwa taarifa zaidi waulizie watu wa magu na mleba jinsi alivyowakandamiza magamba kwenye uchaguzi mdogo wa vijiji na vitongoji!
Hana lolote huyo,kinacho mpeleka huko kote ni kukimbilia posho za safari.hamna hata mwenye habari ya kumuua, ni mtu mdogo sana aka sisimizi
 
Zile hela alizokula Slaa wangezitumia kununua boti ya kumzungusha huyu kamanda wa majini.
 
Hana lolote huyo,kinacho mpeleka huko kote ni kukimbilia posho za safari.hamna hata mwenye habari ya kumuua, ni mtu mdogo sana aka sisimizi

Kumbe huwa mnaua?kweli ninyi ni hanga la kitaifa maana mmeurudisha ukoloni mnatofautiana nao kwa rangi tu.
 
Huyu kamanda mawazo ni kwa tanzania nzima au ni mkoa gani?
 
Back
Top Bottom