Baada ya kusoma humu watu wakihitaji namba ya kamanda Mawazo niliwasiliana naye usiku na akaniruhusu kuiweka namba yake baada ya kumshawishi sana! Hata hivyo kamanda jana alipata ajari ya kuteleza kwenye mtumbwi na ameumia nyonga imevimba.
Namba yake 0756039703
Oh! Pole sana kamanda Mawazo.
Amelazwa? Tunaomba taarifa kamili mkuu.
Kuhusu hiyo namba itashughulikiwa. Hana namba ya tigo?
Laana ya kueneza uzushi.
nyonga ni nini mkuu?
Get well soon comrade. His tigo number is 0658039703
bluetoothnyonga ni nini mkuu?
pole kamanda , ulikuwa unaenda wapi na mtumbwi?
Pole kamanda mawazo, naona makamanda wengine wa chadema wameanza kukususia m4c!
ametenguka kiunonyonga ni nini mkuu?