Taarifa ya ajali ya Kamanda Mawazo na namba yake ya simu!

Taarifa ya ajali ya Kamanda Mawazo na namba yake ya simu!

mpk

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
3,115
Reaction score
3,864
Baada ya kusoma humu watu wakihitaji namba ya kamanda Mawazo niliwasiliana naye usiku na akaniruhusu kuiweka namba yake baada ya kumshawishi sana! Hata hivyo kamanda jana alipata ajari ya kuteleza kwenye mtumbwi na ameumia nyonga imevimba.

Namba yake 0756039703
 
pole kamanda Mawazo wewe ni jembe na mwiba kwa magamba.
get well soon
 
Oh! Pole sana kamanda Mawazo.
Amelazwa? Tunaomba taarifa kamili mkuu.
Kuhusu hiyo namba itashughulikiwa. Hana namba ya tigo?
 
Kazi yako tunaitambue vema na ukweli ni kwamba Tanzania ya leo ina uhaba mkubwa sana wa VIONGOZI WATENDAJI HODARI sawa yako, Heche na makamanda wengine wa aina yenu. Pole sana na tunakuombea upate ahueni haraka na kurejea kwenye kutumikia taifa lako kama kawaida yako.
 
Dah!Pole saana kamanda Mawazo.Mungu akupe ahueni uendelee na kazi yako.
 
chademaaaaaaaaaaa hapo ndipo pa kuonesha upendo wenu. bavicha mpoooooooooooooooooooooooooooooooo kaonesheni mshikamano wenu basi.:israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel:pamoja tuijenge tanzania yetu nzuri
 
Get well soon.
Kamanda pia mleta uzi uje kitoa ufafanuzi kwa hiyo ajali unajua wengi tuna maswali.


Nini kimemsibu kwenye huo mtumbwi.
Alikuwa anakwenda wapi ili nasi tuweze elewa.
 
Pole sana kamanda,tupo pamoja kwa dua na kila kitu!!!!
 
Nimeongea naye kuthibitisha hiyo namba. Ni yake na anaendelea vizuri, anarejea kwenye uwanja wa mapambano. Mengine siri yetu katika kusukuma mapambano
 
mbona wapiganaji wanakumbwa na maswahibu hivyo? kamanda NGOWI leo tena kamanda MAWAZO? who is next? naamini hakuna mkono wa magamba at al,kila la heri makamanda wote
 
Pole mkuu MAWAZO, Mungu akujalie upone haraka.
 
Baada ya kusoma humu watu wakihitaji namba ya kamanda Mawazo niliwasiliana naye usiku na akaniruhusu kuiweka namba yake baada ya kumshawishi sana! Hata hivyo kamanda jana alipata ajari ya kuteleza kwenye mtumbwi na ameumia nyonga imevimba.

Namba yake 0756039703
Kamanda pole MUNGU mkubwa atakupa ahueni.
 
Pole sn Kamanda wetu mawazo na MUNGU mwenye mamlaka ya juu ya yote akupe nguvu na upone mapema!
 
taarifa ya kipumbavu! hii ni taarifa au Mawasiliano! MAWAZO ni mtu mkubwa sana! taarifa kuhusu yeye zinatakiwa kushiba na kukamilika.
 
Mkono wa Mungu ukuguse upone haraka,kwani ukombozi wa hili taifa unakuhitaji"
 
Back
Top Bottom