TAARIFA: Wapendwa nimerudi..

!!!!!!
Welcome back Baba V.
 
Last edited by a moderator:

Mimi huyu mzungu abadan simsamehi, la sivyo naye ajitukanishe, apigwe ban kama alivyonsababishia, akienda jela akarudi basi mi ntamsamehe.
Kuhusu ruttashoborwa mi nakusubiri utoe mwongozo, wewew tu ndio nakusubiria.
Kwa Chimbuvu napo wewe tu ndio nakutegemea mwenyekiti wangu.
 
Last edited by a moderator:
Hurrrayyy.!! Karibu sana mwenyekiti, nilikukosa sana
 

mkuu adhabu aliyoipata yeye mwenyewe najua imemkolea, ipotezee tu
 
Last edited by a moderator:
Chilli taratibu mkuu wangu, ivi mechi ya Brazil v/s England saa ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Afu nakutafuta sana bwana mdogo, bahati yako mtu akiwa guest hawezi ku comment otherwise ningeunganishiwa ban nyingine juu kwa juu

Ah,mkuu,mbona nipo sana!
Afu nilimaind sana,nasikia ulikuja Mbeya afu hatukuonana!
Kwanini hututafuti wenyeji bhana?
 
Ah,mkuu,mbona nipo sana!
Afu nilimaind sana,nasikia ulikuja Mbeya afu hatukuonana!
Kwanini hututafuti wenyeji bhana?

Nimefika Mbeya na kufanya juu chini nionane na wana chit chat lakini wote mkanikimbia, Mwanyasi alinambia yuko safarini, nikaweza kuonana na Mzee wa fund pale Vwawa mbozi nikarudi zangu dar. Next time mkuu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…