mhh,interesting, i respect sana maoni yako, ila mi sidhani ka nipo bias.kama unaamini kwenye mlengo flani wa siasa utaona mi nipo bias.sasa tukianza kuleta habari za kina george sr. na wolfwitz tutaenda mbali.kwa sababu unatafuta facts za ambazo huzifahamu.tubishane kwa facts sio vitu vinavyoelea angani.hivi wajua mission ya gulf war ilikua nini!! haikua regime change, ilikua kuitoa iraq kuwait, kama wangetaka regime change wasingeshindwa, kwa sababu by then states ilikua na more international support kuliko sasa.thats fact! kuhusu powell UN, all intel gathered by that time ilionesha kua saddam alikua na WMD's, hata MI6 waliamini hivyo.thats a fact!swali, kwanini WMD's hazikukutwa? kwa kukuhabarisha, kuna investigation inafanyika saivi ambayo inaangalia if the WMD's were moved to Syria before invasion.Lakini at the same time, nataka niwe fair, its very possible hakukua na WMD's, now, were did they get it wrong, kwanza it depends on ASSETS(foreign agents) ambao walikua wanaipa data marekani.yawezekana walikua wanawaambia wamarekani kile ambacho wamarekani walikua wanataka kukiskia kwa sababu these cooks are well paid na ntu anataka aendelee kuwa kwenye paycheck ya wamarekani,hizi mistakes zishatokea sana na ndo mana watu sasa wanabase zaidi kwenye technology, pili, kutokana na picha za satellites, inaonekana kabisa kulikua na programmes za WMD's zinaendelea, lakini, hii inaweza ilikua strategy ya saddam kuonesha wako militarly strong.kwa sababu for sure alikua anajua big brother was watching everything, therefore its very possible alikua anafanya bogus activities as if anatengeneza WMD's ili ku-create fear.hiyo imo kwenye ulimwengu wa vita.
Wandugu nimeomba msamaha kwa maeno yaliyonitoka. Yamenitoka kwa sababu niliwahi kupata mateso makubwa kwa ajili ya imani hiyo. Mlipuko wa bomu pale ubalozi wa marekani dar ulinipotezea mpendwa wangu..waliohusishwa nao ni ile ile imani! Wakati fulani nilikuwa Qatar kikazi..nilipata sana matatizo na unyanyasaji kwa sababu sikuwa na hiyo dini..nilipoteza haki zangu zote kwa kuwa ni kafiri..kwa kifupi utu wangu haukuonekana kwa kuwa sikuwa na imani hiyo.
Kama wachangiaji wengi walivyojiuliza ni kwa nini matukio yote ya ugaidi yahusishwe na imani hiyo?
Huwa najizuia kuchangia chochote kama imani hii ikijadiliwa kwa sababu nimesha i-brand vibaya(si kusudi langu, circumstances). In the first place nisingetakiwa kuchangia chochote...lakini ndo hivyo ukiwa na fundo juu ya kitu fulani na kikatajwa unaweza shusha lolote bila kufikiri.
NAOMBA MSAMAH TENA SITACHANGIA KATIKA HILI..WALE WANAOTAKA SHINGO YANGU MNISAMEHE PIA.
Kuna watu wanapinga ujio wa Bush kwa msingi kuwa anapinga vita uislamu. Kwa hiyo watu hao wanaunganisha wengine wote wanaokosoa kitendo cha wasilamu kuandamana kupinga ujio wa Bush kwa madai kuwa wote hao ni maadui wa uislamu. Hiyo siyo kweli na huenda inavuruiga kabisa thamani ya mjadala huu.
Ukweli ni kuwa maandamano haya na namna yalivyofanyika (kuanzia msikitini na uchomaji wa bendera ya Marekani) ni kazi ya viongozi wachache sana wa dini ya kiislamu ambao wamekuwa mbele sana kutumia waislamu ili wao binafsi wajipatie ujiko fulani. Siamini kabisa kuwa huo ndio msimamo wa waislamu wote nchini kwa vile mtu aliyemkaribisha Bush ni mwislamu. Mwaka juzi tulishuhudia ufisadi uliofanywa na baadhi ya viongozi hao hao wa kiislamu kujipatia mali kwa kuuza kiwanja cha chuo cha Bakwata wakidai kuwa mtu aliyeuziwa ni mwislamu safi na atawasaidia waislamu; hivyo wakawa wanawasukumiza waislamu wamtetee kwa nguvu sana mtu huyo hadi ikafikia waislamu kuichukia IPP kutokana na mgongano uliokuwapo kati ya Mengi na mwislamu huyo.
Mwishoni mshindi anakuwa na yule kiongozi binafsi aliyewasukumiza waislamu na wala siyo waislamu wenyewe wanoafaidika na juhudi za kiongozi huyo.
Ni kweli kabisa kuwa ujio wa Bush siyo ujiko kwa Tanzania, bali ni kwa ajili ya maslahi ya Marekani. Hata hivyo, ni lazima tukubali kuwa kwa vile tumejijenga kama taifa linalotegemea misaada kutoka nje, basi hatuwezi kuwazuia wao wasitupatie dola milioni 700 halafu wakavuna kitu chenye thamani mara mia ya kiasi hicho. Tulichotakiwa ni kuwakumbusha viongozi wetu kuwa wana dhamana ya kulinda maslahi ya nchi katika mikataba yoyote wanayofanya.
Binafsi sikubaliani kabisa na sera za Bush kwa nchi za nje na hata kwa hapa ndani ya Marekani. Sera za Bush hazikubaliki karibu duniani kote. Tuna haki ya kuungana na wenzetu duniani kuonyesha kuwa hatukubalini na sera hizo kwa njia ya maandamano kama watanzania; hiyo ni sawa kabisa. Tungeaandamana kwa ustaarabu kabisa tukiwa na mabango makubwa sana yanayoonyesha wazi kabisa kuwa hatukubalinai na sera za kibeberu za Bush. Hakuna haja ya grupu moja la waislamu kuandamana kuwa sera hizo ni dhidi ya uislamu tu kama vile zinatetea dini nyinine. Labda niwakumbushe wale wote wanaomuangalia Bush kwa msingi wa Uislamu kuwa:
Baada ya kuelezea hapo, ndiyo maana nasema kuwa msimamo wa waislamu kuandamana kupinga ujio wa Bush ati kwa sababu anapiga vita uislamu ni makosa makubwa sana. Ukweli kilichotakiwa na maandamano ya watanzania kulaani sera sera za Bush kwa kusisitiza kuwa ni mbaya kwa watu wote siyo waislamu tu; hakukuwa na maana ya kupinga ujio wake wakati tayari ameshafika nchini. Kutumia uislamu kunapunguza kabisa uzito wa ujumbe ambao ungefika kwa Bush kutokana na maandamano yale.
- Huko Iraq walioathirika ni wairaq wote,, waislamu na wakristo wote kwa pamoja. Ikumbukwe kuwa yule Tariq Aziz aliyekuwa Deputy Prime Minister na Waziri wa mambo ya nje alikuwa ni mkatoloki (jina lake halisi Mikhail Yuhanna). Yeye vile vile mpaka sasa bado yuko kifungoni kutokana na uvamizi wa Bush. Baada ya Uvamizi huo watu wote walioko madarakani huko Iraq sasa hivi ni waislamu, hakuna hata mkristo hata mmoja. Kwa hiyo kudai kuwa uvamizi huo ni kupinga uislamu ni makosa makubwa sana. Ukweli ni kuwa amewasadia zaidi waislamu wa shiite dhidi ya wale wa Sunni na Wakristo.
- Uvamizi wa Afghanstani ulitokana na Bin Laden alieongoza mashambulizi ya 9/11 kujificha huko na serikali ile ikamhifadhi. Inajulikana kabisa kuwa marekani haikuwa na mpango wowote na Afghanstani kabla ya hapo. Uvamizi ule uliondowa Waislamu wa Taliban kutoka madarakani na kusimika waislamu wengine madarakani. Sioni kama kitendo hicho ni kupiga vita uislamu.
- Swala la Palestine ni la muda mrefu sana na linajulikana kabisa dunian kote. Mara ya mwisho wakati Clinton anataka kugawanya eneo lile kuwa na nchi mbili huru za Israel na Palestine, ni wapalestine wenyewe waliokataa mpango ule. Bush aliingia madarakani mara tu baada ya juhudi hizo za Clinton kushindwa. Kosa lake ni kuwa aliweka kiburi kutolishughulikia tena swala hilo mpaka baada ya muda mrefu sana wakati watu wengi wameshpoteza maisha yao. Hata hivyo, kuna makosa sana kudhani kuwa mgogoro huo unawaathiri waislamu tu. Ni mgogoro unaotahiri watu wa dini zote katika eneo lile.
- Nadhani kuwa kwa population ya Marekani, rais Bush kawaweka waislamu wengi sana serikalini kwake; hivyo sidhani kama anawachukia waislamu. Tatizo lake ni ubeberu, ubabe na labda tamaa ya kutawala visima vya mafuta.
Kwa hiyo watu hao wanaunganisha wengine wote wanaokosoa kitendo cha wasilamu kuandamana kupinga ujio wa Bush kwa madai kuwa wote hao ni maadui wa uislamu. Hiyo siyo kweli na huenda inavuruiga kabisa thamani ya mjadala huu.
Tanzania tutazidi kuwa nyuma siku zote kwa kukumbatia misaada sasa 46 years ya uhuru- msaada utoke kwa Bush au Uarabuni!
It is a great shame to Tz! Huu umatonya ni aibu kubwa kwa nchi yenye raslimali nyingi kama TZ!
We should never be proud kwa kuwa tunapata msaada mkubwa! Ni aibu kubwa!
mmhhhh, interesting, but nadhani nilikwambia kua mi niko fair na nikasema kuwa intel can purposly be created to mislead others.kwenye ulimwengu wa sasa hiyo pia ni effective strategy, na inaweza kutumika kuogopesha au inaweza kutumika kuficha madhambi, na ndo mana mfano siku za uhuru kwenye baadhi ya nchi ndio siku ya kuonyesha military powers zao ili adui aogope au ajiulize mara mbilimbili kama alikua na lengo la kuvamia, kwa hiyo hii inadhihirisha kuna nchi hupenda kuogopesha nyingine.tumeona watu wakipitisha long range ballistic missiles, vifaru vya ajabu,makomandoo wakipita kwa mbwembwe, ndege n.k.sasa basi, powell aliposema satellites zimeona wanachosema waliona na walikamata mawasiliano kati ya wairaq na watu wa niger, sisi tusio ndani ya hizi nyumba mbili(nadhani niseme mimi sijui we mwenzangu), hatuwezi jua who is right here! to be fair, inawezekana marekani walipika story lakini pia inawezekana waliona na kuskia walichosema.afu unaposema intel ilitoka tel-aviv, una fact na hili swala? au umesoma article ya mwandishi mmoja? kuhusu kusema kwamba walijua saddam from day one hakuwa na WMD's, hizi facts zako zinatoka wapi? tunavyoelewa waliingia vitani kutokana na poor intel wakiamini kua jamaa alikua na WMD's, afu unajua kwamba vita kwa mataifa makubwa watu hawakai tu wakaamka na kusema twaingia vitani, every variable in the economy is counterchecked to see how it can be effected by the war, going to war its risky bwana na kwa jinsi nnavyojua isingekua rahisi kwa marekani kutumia billions for something which was not a threat to them.naomba nikukumbushe am not saying they were right what am saying, waliamini in wrong intel.saa hapo facts zipo wapi?? hamna cha kweli hata kimoja!!! umeongea kaa mtu yeyote pro war and pro israel atakavyosema!!! THEY KNEW FROM DAY ONE KWAMBA SADDAM HAKUWA NA WMD's!!! unasemaje kuhusu "yellow cakes" from Niger??
sema something that, I don't know!!!
mmhhhh, interesting, but nadhani nilikwambia kua mi niko fair na nikasema kuwa intel can purposly be created to mislead others.kwenye ulimwengu wa sasa hiyo pia ni effective strategy, na inaweza kutumika kuogopesha au inaweza kutumika kuficha madhambi, na ndo mana mfano siku za uhuru kwenye baadhi ya nchi ndio siku ya kuonyesha military powers zao ili adui aogope au ajiulize mara mbilimbili kama alikua na lengo la kuvamia, kwa hiyo hii inadhihirisha kuna nchi hupenda kuogopesha nyingine. kwa mbwembwe, ndege n.k.sasa basi, powell aliposema satellites zimeona wanachosema waliona na walikamata mawasiliano kati ya wairaq na watu wa niger, sisi tusio ndani ya hizi nyumba mbili, hatuwezi jua who is right here! to be fair, inawezekana marekani walipika story lakini pia inawezekana waliona na kuskia walichosema.afu unaposema intel ilitoka tel-aviv, una fact na hili swala? au umesoma article ya mwandishi mmoja? kuhusu kusema kwamba walijua saddam from day one hakuwa na WMD's, hizi facts zako zinatoka wapi? tunavyoelewa waliingia vitani kutokana na poor intel wakiamini kua jamaa alikua na WMD's, afu unajua kwamba vita kwa mataifa makubwa watu hawakai tu wakaamka na kusema twaingia vitani, every variable in the economy is counterchecked to see how it can be effected by the war, going to war its risky bwana na kwa jinsi nnavyojua isingekua rahisi kwa marekani kutumia billions for something which was not a threat to them.naomba nikukumbushe am not saying they were right what am saying, waliamini in wrong intel.