Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,252
To me it does not mater. Atishiwe na wazee au vijana, mwisho wa siku anachokipitia ni kile kile tuI really feel sorry for u...trying to feel the ctuation and pains you are facing.
Lakini sasa, Mchambuzi... unamaanisha kwamba wanaokusaka kukung'oa kucha, kukutoa macho au kutaka uhai wako, ni WAZEE! Aisee, so vijana wote kwenye chama chenu uko pamoja nao kwenye fikra zako kwa ajili ya chama chenu. Naona kama unaanza kutokuwa makini katika kujenga premises na hatimaye conclusion.
Ili wamfuatilie na kumkamata kiurahisi...Kwa kuwa ni suala linalohusu usalama wako pia, nakushauri uweke signature ya jina lako halisi kwenye hii taarifa...
Am I dreaming or what? Its really you and not somebody stole your password?
Ndugu wana JF, hasa wadau wenzangu jukwaa la siasa,nimeona kuna umuhimu wa kuwapa tu taarifa kwamba nimepotea kidogo humu ili kujipanga kutokana na vitisho navyokumbana navyo kutokana na michango yangu mbalimbali humu,hasa kuhusiana na misimamo yangu dhidi ya madhaifu ya chama changu cha CCM kuelekea 2015;kwa wengi,naamini watakubaliana nami kwamba lengo langu limekuwa ni kujenga,sasa hawa wachache kwa mtazamo wao ni kwamba nabomoa chama (CCM) kuelekea 2015; vitisho hivi havijaanza
wamejuaje kwamba wewe ndio Mchambuzi? au hata huko mtaani unatumia jina hilo hilo?
To me it does not mater. Atishiwe na wazee au vijana, mwisho wa siku anachokipitia ni kile kile tu
Nakushauri ni bora utafakari gharama za kubaki CCM.
kumbuka hata muasisi wa CCM,mwalimu Nyerere,aliwahi kunena kuwa "CCM si mama yangu" akimanisha kwamba anaweza kuihama CCM wakati wowote endapo itaacha kuzingatia misingi ya kuanzishwa kwake.
Tafakari sana kauli hii ya marehemu baba wa Taifa!